njoo tuzungumze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Taa nyekundu ikikuwakia, simama, kuendelea na safari ni kujitakia kifo

    Njooni huku; naona kwenye ule uzi mwingine tumevamiwa na jinsia ya upande wa pili, ngoja tuwaachie. Mahusiano ni kuvumiliana na kuchukuliana madhaifu yetu, ila kuna wakati unasema hapana, siwezi kuendelea. Ladies, nini kilikutokea kwenye mahusiano kikafanya red light iwake kichwani na umuache...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…