Habari zenu wakuu, nimekabidhi kazi kama inavyoonekana hapo.
Ni kabati za jikoni, hapo bado finishing tu ila kazi yangu nimemaliza.
Pia napiga plasta, kujenga, na ramani nachora pia kulingana na eneo lako. mengine kama hayo kwa bei nafuu.
kama unahitaji nicheki nikujengee 0624254690
NB...
Habari wapendwa karibuni TV Aina za Hisense mpya.
32 (kawaida) 370,000
32 (Smart) 450,000
40 (kawaida) 560,000
40 (Smart) 595,000
43 (kawaida) 635,000
43 (Smart) 675,000
Sound bar zpo za Aina zote
Fridge
Sabufa Aina zote bei kwanzia 90000 nakuendelea
Washing machine zpo 110,000
Pazia nzito 2...
Habari zenu wakuu, nina uhitaji wa flash disk.
Wala sina mpango wa kuagiza nje ni emergency hivyo itabidi ninunue madukani, nipo mkoani brand zinazotamba ni Kioxera, Toshiba, Imation, Sandisk, n.k. ama unaweza kuongeza zako unazoziaona madukani
Mtu anakuja kwako anaonesha shida imembana anakuomba umsaidie iwe ni pesa, nguvu zako, connection zako, n.k.
Yawezekana haupo vizuri kifedha inabidi ukope, umebanwa na ratiba lakini unazivuruga kwajili yake, connection unazo lakini hadi zinyenyekewe kwa kujishusha, n.k. unaamua kujitoa umsaidie...
2014 hiyo nipo napiga misele kwenye kagari kangu carina ti, nipo eneo halina magari ghafla nikafika sehemu nigeuze gari bila kuangalia nyuma, vile nageuza nasikia kishindo, kuangalia nyuma ni gari ya idara fulani ya usalama, akili ziliziruka maana navyosikia ukiingia 18 zao utaita maji mma...
Kuna hujuma zinazotendeka kwenye mfumo wa TAUSI kipindi wanapoweka kuhusu upatikanaji wa maeneo yanayouzwa kupitia mfumo wenu.
Wanapo tangaza kuhusu maeneo wanayo yauza cha kushangaza hiyo tarehe uwezi kuona wameweka mda wa asubuhi mpaka saa 12 jioni ila mpaka inapofika usiku saa sita ndio...
Wale wakongwe walio
anza kutumia computer na operating system za Ms DOS, Windows 95, Windows 98 na kabla ya hapo njoo tupe historia yako ulijifunzia wapi computer.
Nini au tukio gani linakukumbusha mbali na ilikuwaje.
Unakumbuka nini juu ya hofu ya Y2K?
Ilisemekana computer zote zitazima...
Kipindi cha uongozi wa Rais Kikwete tulibahatika kupata ujio wa bwana Aga khan na familia yake kama ilivyo utaratibu wao wakutembelea nchi kwa nchi.
Kutokana na michango mingi ya Aga Khan kama hospital,benki na n.k inamfanya kuwa mtu mwenye ngazi kubwa ya kuangaliwa na nchi nyingi kwa viongozi...
Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua.
Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi.
Kujua namba ya utambuzi wa...
TANZANIA TUITAKAYO
Black Author
Utangulizi
Dira halisi ya maendeleo ya taifa lolote linaloendelea,na lililoendelea katika mipango yake,huzingatia sana mambo mawili yafuatayo,Kwanza,ni nadhari na la mwisho ni vitendo ili kuifanya nadharia kuwa hai,viongozi Kwa ushirikiano,huweka mipango Yao ya...
Ni watu flani hasa wamiliki wa makampuni ya utalii, vituo vya mafuta, mabasi ya mikoani, n.k. wapo simple sana kimavazi, kimazungumzo na hata kimuonekano.
Kwa hapa Dar, je naweza kufungua butcher la samaki wabichi sato, sangara n.K kutoka Mwanza ? Kwa mtaji wa 2 milioni.
Kwa wazoefu na soko la SAMAKI na usafiri pia
Kutoka MWANZA to Dar hiyo pesa inatosha ??
Naomba mnielekeze
Kumbuka lengo la kushambulia Israel ni kuua waisrael wote, ndicho kitachotokea Israel ikitekwa na Palestina, Hawa watu wakivamia huwa ni chinja chinja tu kujaribu kuua waisrael wote kwa kiasi wanachoweza, Hata watanzania wenzetu walioenda kusoma huko walikutwa kwenye ardhi ya Israel na wakauawa...
Leo kidogo nitakuwa mkali
Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao.
Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
alie tayar kua kati ya hvo juu hapo naomba ancheki dm ila mm ni mwanaume so natafuta mwanamke kutokana hiko kchwa cha.habar hapo juuu
ni yoyote yule ila mwanamke kwa umri wowote ule alie tayar katka hayo yalyo juuu
Kwa kiingereza inaitwa CUT THROAT COMPETITION (Ushindani wa kuchinjana makoromeo)
Ni aidha
jirani biashara imemshinda anaanza kuuza kwa bei za chini amalize mzigo
Mbinu ya kukuibia wateja kwa kuwauzia kwa bei rahisi kuzidi zako
Anataka uhame atawale soko hio sehem
Anataka kukutia adabu /...
Katika jiolojia tanzania ni sehemu moja wapo wenye eneo mozambique belt.
Nini maana ya jina ilo kijiolojia
"Mozambique Belt" ni jina linalotumiwa kuelezea eneo la bara la Afrika ambalo lina muunganiko wa miamba ya zamani na miamba ya metamorphic. Inapita kupitia nchi za Afrika Mashariki kama...
Mimi Mjanja M1 sikuwahi kuwaza kama kuna siku nitaandika uzi kwaajili ya wanyama hususani wanyama wa majumbani eg. Paka, Mbwa na wengine ambao tunawafuga.
Kwenye pilika zangu nimekutana na Vitoto vya Paka vikiwa vimetupwa jalalani na muhusika (Mfugaji) hajulikani. NILIUMIA SANA 😢
Ukiachana na...
Maana kama sielewi elewi hivi! Hakuna kanuni zinazokataza virendo hivyo?!! Maana sioni 'fair play hapo zaidi ya kuhamasisha vitendo vya ushirikina, kubaguana na hila mbalimbali katika mchezo wetu huu mtamu. Au fair play inahusika ndani tu ya uwanja na sio kitu cha lazima? Wenzetu ulaya wapo hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.