Mdogo wangu amechanganya tarehe na muda akamiss flight yake.
Tiketi yake inaonyesha kwamba kuna penalty ya $200 ya no show.
MASWALI:
Je anaweza kuchange flight na kulipia hiyo $200 au how does it work?
Au inabidi akate tiketi nyingine halafu aclaim refund?
Kwa sasa akiingiza taarifa za...