Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mdogo wangu amechanganya tarehe na muda akamiss flight yake.
Tiketi yake inaonyesha kwamba kuna penalty ya $200 ya no show.
MASWALI:
Tiketi yake inaonyesha kwamba kuna penalty ya $200 ya no show.
MASWALI:
- Je anaweza kuchange flight na kulipia hiyo $200 au how does it work?
- Au inabidi akate tiketi nyingine halafu aclaim refund?