noah

  1. Nyendo

    Ajali ya Lori na Noah yaua watano na kujeruhi wawili Dodoma

    Watu 5 wamefariki 2 kujeruhiwa baada ya gari dogo aina ya Noah lililokuwa likitokea Morogoro kwenda Dodoma kugongana na lori eneo la kibaigwa jijini Dodoma. Watu watano (5)wamepoteza maisha na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea alfajili ya Leo katika eneo la...
  2. mtanga255

    Nahitaji Noah ya mkataba

    Habari ndugu zangu, Nahitaji gari aina ya Noah ya mkataba wa mauziano usiopungua miezi 6 yenye hali nzuri na iwe yenye namba kuanzia B au C na isizidi milioni 6 miezi ya mkataba ukiisha ndipo nakabidhiwa hatimiliki za gari. Naombeni msaada kwa hili. Asanteni.
Back
Top Bottom