DSTV will die the same death as Nokia, Compaq, Kodak, and GM if they fail to change with changing times. More users are opting to streaming live matches as internet connectivity becomes faster, more affordable, and accessible. They have refused to lower their prices and innovate.
WATEJA WANGU WANGUVU NIMEWALETA SIMU ZA NOKIA 106 FULL BOX BEI YA JUMLA TSH 19500 REJAREJA 23000 NIPO KARIAKOO UHURU PLAZA MIKOANI UNATUMIWA KWA UAMINIFU MKUBWA
NIPIGIE 0713861567 / 0760081567
VIVO Y71 RAM 6 STORAGE 128
Moja tsh 100000
Jumla kuanzia tatu 92000 tu
Pia unaweza kuagiza china kwa bei za viwandani
Tupo kariakoo karibu dukani pia mkoani unatumiwa
Call/whatsap +255713861567
Blackberry na Nokia yameanguka, tena yameanguka sana. Pamoja na kuwa na simu kali zenye kamera nzuri, speed kubwa ila wakaanguka.
Walianguka kwa sababu hawakuwa na viongozi wenye kufocus ulimwengu jinsi ulivyo. Yaani walikuwa katika miaka ya 2000 lakini akili zao zilikuwa zinafanya kazi ya...
I love tech. Phones are part of it.
Leo nilikutana na fundi simu mmoja wa miaka mingi sana. Nakumbuka mwaka 2009, kabla Simu za laini mbili hazijakuwepo, huyu fundi alikuwa anakata laini na kuziunga kisha ukiweka kwenye simu, inakupa uwezo wa kuswitch from SIM 1 to 2 at your selection. Sijui...
Kampuni ya Nokia imefanya mabadiliko ya mwonekano wa logo yake. Design ya logo ambayo imekuwa ikitumika tangu mwaka 1966, japo ilikuwa inabadilika kodogo (mwaka 1992, 2006 na 2011); kampuni ya Logo imeamua kuweka logo mpya kabisa ambayo ni tofauti na logo yake ya kawaida.
Nokia ipo katika...
Kama kampuni imezindua bidhaa yake na kuweka mikakati ya mauzo ni vyema mikakati hiyo ikalindwa na serikali badala ya mikakati hiyo kutumika kuwalaghai wananchi.
Hii huduma siyo ya serikali, ni huduma ya kampuni ya simu kwa lengo la kupanua masoko. Nimemsikia Waziri alkisema wanakopesha...
Za asubuhi wakuu
Naulizia kwa hapa bongo wapi nitapata battery ya simu tajwa
Naipenda huwa kanatunza chaji Sana toka 2019 mwanzoni Hadi Sasa . Week ya pili Sasa nasikia harufu Kama ya lithium battery karibu na port ya kuchajia simu na naona Kama self discharge Ni kubwa Sana ..an average of...
Naona muda wa kulala unakaribia na wengine bado wanapiga safari moja huanzisha nyingine.
Umewahi kukaa jirani na mtu mahali mnasubiri huduma labda kwenye taasisi fulani hivi halafu huyo mtu anatumia nokia ya tochi akawa anachati an anaandika msg ukasikia jinsi zile button...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.