1. Nyimbo zinazosikilizwa zaidi ulimwenguni
Nokia Tune. Nyimbo ya Nokia ilitungwa na mtunzi Gran Vals, na mtunzi wa Kihispania Francisco Tárrega. Anssi Vanjoki, pamoja na Lauri Kivinen, walichagua kipande hicho maarufu kilichowekwa kwenye simu za Nokia mwaka 1993. Mlio huo maarufu wa kuita...
Habarini wanduguuu!!
Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu..
Sijajua Kwa mitaa ya posta ni maduka gani naweza kupata display original kwasababu nipo tayari kugharamia Kwa kiasi chochote cha fedha...
kuna hizi simu za nokia g10 nimeona review ziko vizuri kutoka na review nilizoangalia je nyinyi watumia wa nokia g10 ni nzuri kwa picha za mchana na usiku
bei nimeona around 370k za bongo
About Nokia
We create the critical networks and technologies to bring together the world’s intelligence, across businesses, cities, supply chains and societies. With our commitment to innovation and technology leadership, driven by the award-winning Nokia Bell Labs, we deliver networks at the...
Msaada wakuu..nina kisimu cha zaman hapa nokia lumia 720 nataka nibadilishe os yake kutoka windows kwenda android,
Je inawezekana??
Msaada wenu na ushauri ni muhimu wakuu..
Ninachochukia windows hawana apps nyingi nizipendazo
Back in 2012 enzi Nokia bado imeshika hatamu.Simu yangu ya kwanza kununua kwa hela yangu 125,000 enzi za MidCom ndo wakala wa Nokia.
Simu ilikia na battan smooth and soft kwa wale wanaopenda kuchati haina kelele. Software iko fasts ukitype unachek kwenye screen maneno yanavyojitype very fast...
Nokia Lumia 1020 iliushangaza ulimwengu pale walipotoa simu Kali sana yenye MP41. Hiyo ilikuwaje Ni 2011 karibu miaka 10 iliyopita.
Camera ya Nokia Lumia 1020 ilikuwa kiboko na matata Sana, na ilitumia lens moja, tofauti na leo ambapo tunaona ili simu iwe na camera Kali Basi watalundika rundo la...
Kama tulivoona ujio mpya wa Nokia na Android. Mnamo mwaka 2017 walianza na Android 7 Nougat ambapo walianza na Nokia 1. Nokia 2 , Nokia 3, Nokia 5, Nokia 6 Nokia 8 nk
Kisha zikatoka upgrade yake kidogo nikimaanisha
Kisha mwaka 2018 zilitoka kama Nokia 2.1, 3.1,5.1 , 6.1 ,7.1 , 8.1
Baadae...
Wakuu, naomba msaada ni njia gani naweza ku by pass hii simu inaitwa Nokia 1.
Nimepitia baadhi ya thread lakini naona bado hivyo naomba mwenye uelewa anisaidie ili niweze kutatua tatizo.
wakuu
nimenunua simu nokia 1 mkoani. Sasa nimekuja kufanya factory reset then kuweka email yangu ikanambia "this phone was reset..enter the previous email"
sasa email hiyo iliyokuwa inatumika siijui na aliyeniuzia simfaham
naomba msaada jinsi ya kufanya ili niweze kuweka email yangu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.