North Korea 'inasemekana' imerusha leo hii kombora 'linalodhaniwa' ni la balistiki, ambalo limelipukia angani, muda mchache baada ya kurushwa. Hayo yamezungumzwa na South Korea.
Cheong Seong-chang, mtafiti mwandamizi ktk Taasisi ya Sejong ameiambia AFP kuwa dalili zaashiria kuwa jaribio la leo...
Rais wa North Korea, Kim Jong-Un, ameweka wazi kuwa ndani ya miaka 5 North Korea itafunga angani setilaiti nyingi za upelelezi ili kukukasanya na kupata taarifa ndani ya muda muafaka zihusuzo vitendo vya kijeshi vya Marekani na washirika wake wawili, South Korea na Japan.
North Korea imefanya...
North Korea leo jumamosi imerusha kombora moja la balistiki baharini. Kombora hilo linakuwa ni la 9 toka mwaka huu kuanza. South Korea imelalamika kuwa majaribio hayo yanatishia usalama wa wa jumuia ya kimataifa, kama ambavyo yanavyohatarisha amani na usalama ktk peninsula ya Korea.
South Korea...
North Korea imesema ilicheki ufanisi wa mifumo ya kamera na mifumo mingine ktk jaribio lake muhimu zaidi la kutengeneza setilaiti ya udukuzi wa kivita. Hayo yanajiri baada ya nchi hiyo kulaumiwa jana kwa kurusha kombora la balistiki.
Setiliti hizi hutumika ktk oparesheni za kijeshi na...
Japan na Korea Kusini wamesema kuwa leo jumapili Korea ya Kaskazini imefanya majaribio ya kurusha kombora la balistiki.
Jaribio hili limefanyika kukiwa na chini ya wiki mbili kuelekea uchaguzi wa rais nchini South Korea, lakini pia katika kipindi ambacho dunia imekuwa ktk hali ya kushughulishwa...
Kiwango cha rushwa nchini Korea Kaskazini kiko chini sana!
Askari akikamata muarifu amepewa bonus hizi
1. Kama ni mwizi wa pesa 25% ya Pesa anazookoa ni ya kwake na 75% zinaenda ziliko ibwa
2. Askari akikamata Mbakaji Au anayetembea na mtoto wa shule Au chini ya Miaka 21 anapewa 300$ Kwa...
Ni maisha fulan amizing .
Tumeaminishwa Mengi yasiyo sahihi
Nimepita maeneo wanayosema hatari kwa mweusi nikiwa Mwenyewe bila escort, nimefanikiwa kupiga piga vi video kidogo japo kwa kujiiba sana
1. Pombe wanakunywa kawaida na wana Uhuru kwa hilo wanaopiga Maji hawabughudhiwi, Bar ziko open...
North Korea imefanya jaribio la kurusha kombora la balistiki la masafa mafupi toka kwenye nyambizi (submarine) jana October 19, 2021.
Jaribio hilo limefanyika ktk kipindi ambacho wajumbe maalumu wa Marekani, South Korea na Japan ktk maswala ya North Korea wakijiandaa kukutana kujadili mpango wa...
Picha ya Hwasong-8, kombora la hypersonic liliorushwa na North Korea
North Korea imesema kuwa imefanikiwa kufanya jaribio la hypersonic missile, kombora linalosafiri maradufu kuliko sauti. Wataalamu wa mambo ya silaha wanasema kuwa kombora hilo ni miongoni mwa makombora yanayotembea kwa spidi...
South Korea imesema kuwa North Korea (NK) imetesti kombora ambalo bado halijafahamika wakati ambao balozi wa NK wa Umoja wa Mataifa (UN) bwana Kim Song akizungumzia/akitetea haki ya nchi yake ya kutesti makombora/silaha ktk kikao cha pamoja cha UN kilichofanyika jana jumatatu mjini New York...
North Korea has expressed its readiness to resume inter-Korean talks on officially ending the 1950-53 Korean War based on mutual respect.
“I believe only when fairness and mutual respect can be maintained smooth communication between the North and the South can take place,” said Kim Yo-jong, the...
North Korea kwa mara ya kwanza imefanikiwa kurusha makombora mawili ya balistiki toka kwenye treni. Makombora hayo yalishambulia tageti iliyokuwa baharini umbali wa kilomita 800 toka sehemu iliyorushiwa.
Wachambuzi wa mambo wanasema jaribio hilo laonesha kuwa Kim Jong Un anaendelea kuboresha...
Dola bandia zilizotumika kwa miongo miwili na kupumbaza dunia
Noti hiyo ya dola bandia haikuwa na makosa yoyote na hata maafisa wa kitengo cha ujasusi hawakuweza kubaini iwapo ilikuwa dola bandia ama nakala mbele yao.
Ni baada ya kipindi kirefu cha uchunguzi ndiposa waliweza kuthibitisha...
North Korea maintains it has recorded no COVID-19 coronavirus cases as Pyongyang prepares for a major regime conference next month where dictator Kim Jong Un is expected to set out his foreign and domestic policy direction to thousands of party members.
The secretive Northern regime has said...
Picha ya kombora jipya kuuubwa la kinyuklia (ICBM) la North Korea (Picha kwa msaada wa AP)
Baada ya kimya kirefu, yule mtemi wa mtemi wa dunia Kim Jong-Un amekuja na kitu kipya. Naam ni kombora kubwa mnooo la kinyuklia la masafa marefu (ICBM) ambalo wachambuzi wa mambo wanasema ni ktk makombora...
North Korea has wanted to make these powerful bombs, that can cause devastating damage, for a long time. Fortunately for them, they have succeeded and their leader is not the type of person that bows down to Western power. To prove that he is fully prepared to face any possible challenge or...
WORLD WAR 3 fears have reignited as North Korea has "probably" developed mini nuclear devices - with the US ready to strike and trigger mass bloodshed never before seen, a report has revealed.
North Korea has "probably developed miniaturised nuclear devices to fit into the warheads of its...
Nilikuwa naangalia hotuba ya Trump leo usiku kupitia CNN, Trump ameishutumu China kwa kusema walifanya uzembe na kusababisha virusi vya Corona kusambaa Duniani.
Amesema Marekani inafanya uchunguzi mkali ili kubaini ukweli juu ya China kusambaza kwa makusudi virusi hivyo kwa Dunia.
Ila kauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.