nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. J

    TPA madudu matupu, PSSSF imefilisika, NSSF haina fedha, TASAC ubadhirifu mtupu sasa hawa CHADEMA wanapigana na Ufisadi gani?

    Chadema wamekuwa wakijinasibu kwamba wao ni wapambanaji wa ufisadi na rushwa na hawatakaa kimya hadi rushwa itokomezwe. Sasa jana nilishangaa kila DG mteule wa taasisi aliyesimamishwa na Rais Samia aliambiwa akamalize vitendo vya rushwa na wizi katika taasisi aliyoteuliwa kuiongoza. Yaani kote...
  2. F

    William Erio: Mwisho wa Enzi kwa Boss wa NSSF au Mwanzo Mpya?

    Mr. William Erio ambaye leo ameondolewa katika Cheo cha Mkurugenzi Mkuu NSSF si jina geni. Amekuwa katika cheo kikubwa cha Mkurugenzi wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa muda mrefu toka mwaka 2002 alipokuwa Mkurugenzi Mkuu wa PPF hadi mwaka 2018 alipohamishiwa NSSF baada ya kung'olewa Prof...
  3. Naweza kupata mafao ya NSSF nikiwa na namba bila kadi

    samahani sana wana jf nilikua nahitaji msaada wenu kidigo kwa yoyote anaye jua, Nimekua nikijiuliza sana kuhusu swala la NSSF. mimi nilikua mfanya kaza katika company furani hapa dar es salaam na nimetumikia hapo kwa miaka miwili mwaka wa kwanza sikuingizwa katika system ya nssf lakini...
  4. T

    Naomba niweke wazi kwa wale wanaodhani ya kwamba hela iliyopo NSSF ni ya Serikali

    Habari, fedha anayokwatwa mwanachama wa NSSF siyo ya serikali bali serikali inaisimamia tuu mifuko hii. hii fedha ni fedha ya wanachama. Nashindwa kuelewa pale Mtu anaposema watanzania tunapenda vitu vya bure. Naomba nikuelimishe kidogo wewe unayesema tunapenda vitu vya bure. Kama kazini...
  5. NSSF mnanifanyia dhulma haki yangu

    Dhutous!- injustice (absence of Justice), or violation of right or of rights of another; unfairness; unjust act. Wapendwa, nilikuwa mwajiriwa katika moja ya kampuni za ujenzi hapa Dar es salaam. Ajira yangu ilikoma mwezi wa tisa 2020. Muda wote nikiwa kazini akaunti yangu ya NSSF haikuwa na...
  6. Inawezekana kuishtaki NSSF kwa kutolipa mafao ya wanachama?

    Kuna uwezekano kisheria kuishitaki NSSF mahakamani kwa kutolipa mafao ya mwanachama kwa wakati na ilipe fidia ya madhara aliyopata mwanachama kwa mafao yake ' kushikiliwa' na NSSF pamoja na gharama ya kesi? Naomba kufahamu hili.
  7. M

    Bima ya NSSF haihudumii mimba ya miezi sita kushuka chini?

    BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI. Habari zenu ndugu zangu! Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
  8. Malalamiko kwa NSSF: Inawezekana Mwajiri alipe michango ya Mwanachama lakini Mhusika asiione?

    Habari za mwaka mpya wanajamvi. Poleni na jukumu la kulipa ada maana zamani watoto ndio tulikua tunakula ada ila siku hizi hao watoto wameshakua wazazi kwahiyo tabia bado inaendelea. Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja ya msingi. Malalamiko yangu kwa uongozi wa NSSF embu wahusika jaribuni...
  9. Z

    Kwanini NSSF isiwe na tawi la bank kusaidia wateja wake?

    Mikopo ya bank muda mwingi haisaidii sana watumishi wa umma au sekta binafsi kwa sababu ya riba kubwa. Sasa kwa sababu watumishi huwa ni wateja wa kudumu wa mfuko huu na kila mwezi wanachangia fedha nyingi, kwa nini NSSF isiwe na bank ambayo itatumika kuwapa mikopo wateja wake kwa riba ndogo...
  10. M

    Ujinga wa wafanyakazi wa NSSF umevuka mipaka

    Customer care zero. Ukiuliza maswali yanatoa majibu ya kipuuzi tu. Hii nchi ngumu sana. Hii sheria ya kuchangishana kwa lazima wakati ukiachishwa kazi hawataki kukupa hela yako ni ya kipumbavu.
  11. N

    NSSF ni janga kwa wafanyakazi

    Kuna jamaa yangu alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya vifaa vya ujenzi, akapunguzwa kazi kutokana na hali iliyopo ya kiuchumi iliyokolezwa na janga la korona. Kwenda NSSF anaambiwa hawezi kupewa mafao yake yote, aendelee kutafuta kazi au apewe asilimia 30 ya mafao yake. Sasa cha kujiuliza...
  12. Jinsi Baharia mmoja alivyojilipa Mafao yake ya NSSF

    Ndio usishangae jamaa alijilipa mafao.. !! Kuna mwana alikua anafanya Kazi halmashauri fulani hivi mwaka 2016 alibahatika kupata scholarship kwenda ulaya kusoma masters. Sasa ofisini (serikalini/halmashauri) walimbania ruhusa akaamua kuacha kazi ila kabla hajaacha alijiuliza na kufatilia mafao...
  13. D

    Nimeshangaa sana NSSF, asilimia kubwa wanaodai mafao ni vijana na si wazee kama ilivyokuwa zamani

    Juzi Kati nikiwa kwenye jiji la maraha niliingia kwenye ofisi moja ya mkoa ya NSSF. Nilichokuta pale kilinishangaza sana, kulikua na watu wazima wawili wengine wote zaidi ya 50 ni vijana under fourty years. Wote wamesimamishwa kazi wamekuja kudai mafao. Ilibidi yule Askari wa Suma pale getini...
  14. Tuchague kiongozi aliye kubalika na Mungu, kiongozi ambaye hatakandamiza wafanyakazi na NSSF

    Wafanya kazi tumekuwa tunateseka sana, maisha magumu, mishahara haipandi na bado wanavamia mifuko ya kijamii NSSF/PSSSF wanasema mpaka ufikishe miaka 55, huo ni onyonyaji, kodi za serikali zinakatwa PAYE, kwa kila mfanyakazi. Lakini bado mnataka hadi NSSF/PSSSF, Huu ni uonezi, ubabe wa...
  15. Uchaguzi 2020 Nitampigia Kura mgombea urais yeyote atakaejieleza kwa ufasaha kuhusu fao la kujitoa NSSF

    Ndugu zangu wasalam, Mimi ni mwajiriwa kwenye sekta binafsi na nimeanza kuchanigia NSSF tangu mwaka 2011, akiba yangu ni kati ya Mil 60-75, japo kuna kipindi nilijitoa nilipohama kampuni, muda si mrefu nataka niache kazi nijikite kwenye kufanya kazi zangu binafsi. Kinachonisikitisha ni...
  16. K

    NSSF ichunguzwe na TAKUKURU na Wizara ya Fedha kuhusu harufu ya ufisadi na rushwa

    NSSF imeteua Kampuni binafsi ya PROPER CONSULT kusimamia majengo yake na kuwataka wapangaji kufanya malipo kwenye Akaunti binafsi ya Kampuni hiyo iliyoko CRDB kinyume maelekezo ya Serikali kuwa malipo yote ya Serikali yafanyike kwa kutumia Control Number ili pesa zote ziingie Serikalini. Hapa...
  17. Wanasiasa wanatuua mapema. Pesa za NSSF wanazitumia kwa maslahi yao, jamani tupige kelele

    Tupige kelele hadi masikio yawaume tuko kimya sana jamani .nendeni kwenye ofisi za NSSF mkaone watu walivyokata tamaa na maisha yani afadhali mkoloni. Mtu unaangaika miaka labda 20 anakatwa mshahara wake huo mdogo,sasa akifika kule ataahidiwa mpaka atakufa njaa. Vijana mko wapi mbona waoga...
  18. T

    NSSF na habari njema...

    Moshi Vikundi vya wajasiriamali wadogo wadogo mkoani Kilimanjaro vipo mbioni kunufaika na mkopo wenye riba nafuu uliotolewa na serikali kupitia shirika la hifadhi ya jamii Nssf kwa lengo la kuinua biashara zao. Shirika hilo limetenga shilingi bilioni tano kwa ajili ya kuvikopesha vikundi hivyo...
  19. Q

    NSSF Ni kero kwa wanufaika

    Jamani habarini kumekuwa na shida kwa baadhi ya maofisa wa NSSF kuingia ubia na waajili ya kutopeleka michango kwa wakati matokeo yake wanaoumia ni wanufaika huku mchangiaji akikosa haki zake za msingi Kitendo hiki ni cha kinyama mfano mtu unatakiwa kupewa fao lako la uzazi lkn haki hii huwezi...
  20. NSSF Ubungo acheni longolongo! Lipeni wateja wenu mafao yao!

    WanaJF, Utendaji kazi wa baadhi ya watumishi NSSF Ubungo haulidhishi kabisa! Nimekuwa nikifuatilia kulipwa mafao yangu toka mwezi 7, 2019 mpaka leo hii sijalipwa napigwa kalenda tu bila hata kujali kuwa mtu huyu anatokea wapi! Manake si kila mtu anaishi na kufanya kazi Dar es Salaam. Watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…