The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.
The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
Ukiangalia kwa makini kwenye huu ukanda wetu wa Afrika Mashariki na KATI na hata Afrika kwa ujumla wake, soka linaendeshwa sana sana na Taasisi za Serikali, watu binafsi wenye hela na makampuni maana ndo waajiri ambao wana uhakika wa kulipa mishahara na kuhudumia timu kwa uhakika.. ZAMBIA na...
Wakuu naomba kuuliza swali kwa waliolipwa Madai Yao NSSF.
Je, ukilipwa dai lako kuna update yoyote katika User-Portal yako ya NSSF ukilogin? Hasa upande wa Claims Details maana hapa kila nikiangalia ya kwangu sioni mabadiliko yapata mwezi na week moja.
Ningependa kujua muda halisi madai...
Kule Masaki NSSF wanafanya ukarabati mkubwa wa gorofa zake. Ukarabati huo unahusisha uvunjaji na kubadilisha madirisha na magrill, kupaka rangi n.k. lakini kazi hii wanaifanya wenyewe hawakumpa Contractor wala hakuna usimamizi wa injinia wa majengo mwenye ujuzi, wanatumia vibarua wa mitaani...
Wasalaam,
Nimeachishwa kazi mwezi wa 3. Nimeenda kuangalia statement yangu ya michango inaonesha haijawasilishwa na mwajiri wangu kwa miezi 16. Nimefuatilia kwa mwajiri ananipiga tarehe tuu aliniambia atazipeleka.
Sasa najiuliza NSSF kazi yao ni nini kama sio pamoja na kuwakagua waajiri na...
Wakuu napenda kufahamu kama PSSSF & NSSF wamefanya mabadiliko ya kuwalipa wanufaika kwa wakati, vijana wapo mtaani hawana ajira.
Mama Samia Rais wetu, yunakuomba uingilie kati hili swala, vijana wengi wanadai mafao yao ambao wangepata hizo pesa wangejiajiri wakati wakiendelea kutafuta kazi ama...
TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako"
Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
Nimefika pale kuulizia huduma fulani lakini hakuna wahudumu wa kutosha (dirishani yupo mhudumu mmoja tu) foleni ni ndefu mno.
Chumba kimejaa wateja lakini wahudumu wanajipitishatu na visuruali vyao, majibu yao ya hovyo.
Watumishi wa hiyo ofisi wanachukulia wateja kama ombaomba. Hamjui kama kuna...
Ukienda NSSF tawi la kinondoni ubungo plaza utatamani Magufuli afufuke.
Hakuna anaejali.
Unasikilizwa kwa mbinde.
Meneja hapatikani.
Ukienda posta utachoambulia ni majibu ya hovyo utaambiwa sasa sisi tufanyaje!
Hii ni experience yangu nafuatilia hela yangu ya 33%.
Hali ni mbaya sana...
Habari wadau
Ninataka kwenda kufungua madai NSSF ya kuachishwa kazi.
Je, inatakiwa nienda na nini ambayo vinaambatanishwa na fmu yangu ya madai maana ninafunga safari kwenda Ofisi za NSSF.
Ni week ya sasa Wajawazito katika ofisi mbalimbali za jiji la Dar es Salaam hawapati huduma,iwe Ubungo au Ilala kwa wakazi wa Dar es Salaam.
Inaenda karibu week ya pili sasa kwa wajawazito ukienda kwenye ofisi za NSSF kwa ajili ya Fao la Ujauzito ni kero tupu,sababu mara mtandao unasumbua mara...
Julian Assange The Whistle Blower,Alishawai kusema kwamba Taifa lolote ambalo halina wapaza sauti KWA maslahi ya wengi basi ni Taifa legelege,
Nimefanikiwa kuipata inside story isiyo na mashaka hata chembe kutoka ndan ya shirika la Taifa la hifadh ya jamii Nssf hakika kweli sikio la kufa...
Wanajukwaa poleni Sana na Majukumu,
Mimi hapa ni miongoni mwa wafanyakazi wa kampuni ya Kiribo Ltd iliyopo wilaya ya Tarime mkoa wa Mara.
Kwa taarifa rasmi kuhusiana na kampuni yetu tulisimama kazi tangia mwaka Jana mwezi wa saba ila tangia tulivyosimama kazi hatujawahi pewa haki zetu au...
KINACHOMTESA MEYA JUMA RAIBU NI KAZI ZAKE
Anaandika Mwinjilisti Mathayo Chamshama
Trending news ya sasa katika siasa za kaskazini ni Juu ya kinachoitwa "Uchotwaji wa Milioni 150 za Benki ya KCBL" ambapo anatuhumiwa Mstahiki Meya wa Moshi Mhe Juma Raibu Juma, ambae ni mteja wa Benki hiyo wa...
Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250.
Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1.
Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
Poleni Watanzania.
Kwako Mama Samia Suluhu, nakuomba sana uturudishie haki yetu iliyopotea ghafla ya fao la kujitoa NSSF. Nakuomba sana futa sheria kandamizi dhidi ya Wafanyakazi. Mtu anaacha kazi kafanya miakaa 15 au 20 halafu unakuja kumwambia asubirie mpaka afikishe miaka 55 au 60 je hii ni...
What is going on hapo NSSF.
Ni siku ya tatu Sasa mfumo wa kuangalia Salio au taarifa kupitia Simu haufanyi Kazi. Kulikoni?
Jana nilikuwa NSSF Ilala(Boma) watu ni wengi wanalalamika wakitaka kujua mbona mfumo wa kuwapa taarifa za akaunti zao unasumbua isivyo kawaida, Cha Ajabu wanajibiwa hovyo...
Wakati wa uongozi wa aliyekua DG wa NSSF William ERIO NSSF ilijaa matumizi mabaya ya fedha za shirika mpaka kufikia kumlipa mfanyakazi sh milioni 26 za UHAMISHO akitoka makao makuu Posta akihamia ofisi ya Kinondoni DSM.
Maajabu kama haya unayapata nchi zenye mfumo wa hovyo katika Taasisi.
likuwa hospitali ya Temeke. Nilimuona mama mmoja mtu mzima na ambaye aliwahi kunihudumia wakati nasoma UDSM.
Saa sita wakati natoka nikamuona bado amekaa palepale. Kumuuliza akasema alistaahafu na anamsubiri mtoto wake ili amlipie apate huduma kwani baada ya ajira alitakiwa aongeze pesa...
Habari wadau.
Katika sera za Hayati Magufuli kuelekea uchaguzi wa oct2020 alitoa ushauri kwa NSSF kutowekeza tena kwenye makongo na kuwekeza kwenye ujenzi wa viwanda.
Tathmini ndogo tu iliyofanyika ila sijachapa hii report, jengo la mlimani la blue (PPF tower km sijakosea) liligharimu about...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.