The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.
The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
Naipongeza Serikali kwa kuja na mpango wa Bima ya afya kwa wote.
Pamoja na kuwa na wazo zuri lakini utekelezaji kama jambo lolote kubwa utakuwa na changamoto. Na moja ya changamoto yake ni kiwango cha fedha kwa kwa mchangiaji mwenye familia kwa kuzingatia hali halisi ya kipato. Kutokana na...
Kiasi cha shilingi Trilioni 7.3, katika mwaka wa fedha 2022/2023, kimekusanywa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii, (NSSF) ambapo fedha hiyo inatokana na michango ya wanachama wa mfuko huo.
Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko huo Bw.Masha Mshomba wakati akitoa...
Salaam Wakuu,
Wakazi 23 wa NSSF wametolewa vyombo vyao nje Mtaa changanyikeni kata ya Toangoma.
Inasemekana hakuna removal order na kuna kesi mahakamani
Watu wameharibiwa vitu vyao na wengine kuumizwa. Zoezi limefanywa na YONO Auction Mart
Je, itaratibu upoje kama kesi ipo mahakamani?
Habari wadau.
Kwa wenye uzoefu na NSSF. Naomba kujua kama inawezekana kushugulikia mafao ikiwa mtu yupo mkoa mwingine tofauti na aliofanyia kazi. Mfano kafanya kazi Moshi Ila kwa sasa yupo Mwanza na document zote husika anazo.
Nawasilisha
Nimekuwa nikifuatilia utaratibu mzuri ulioanzishwa na Waziri, Profesa Joyce Ndalichako wa kusikiliza wastaafu alianza Dodoma na leo Dar es Salaam natumaini zoezi hili litafika ngazi ya wilaya ili kuweza kuwafikia wastaafu wengi ambao hawana mahali pa kusemea shida zao.
Kongole sana Profesa...
Jana Alhamis usiku ulitumwa ujumbe toka NSSF ukitaarifu kuwa leo Ijumaa saa 3 asubuhi Waziri atakutana na wastaafu wa NSSF na PSSSF kwenye ukumbi wa NSSF Ilala ili asikilize matatizo yao, kuitisha mkutano wa ghafla una nia ya kuonesha waziri anania ya kuwasikiliza ila wahusika hawakufika kwa...
Kupitia balozi wa shirika, Steven Mengere, NSSF imesema mtu ambae hamiliki nyumba au atakufa hana nyumba basi ni fala, bwege na mbwiga. Na kwamba tutumie fursa waliyotuletea ya kumiliki nyumba.
Hebu tuchambue huu mradi halafu tuangalie ufala wetu na ubwege ukoje au nani kati yetu sisi na NSSF...
Mimi nilijisajili NSSF mwezi May. Kulingana na taratibu za ofisi yetu bado mwajiri wangu hajaanza kutuma hiyo fedha huko. Hivi kule wananiandikia deni au inakuaje? Msaada wakuu
Sina kazi karibu mwaka wa pili sasa. Kula yangu ni ya shida pakulala ni shida kila kitu kimekuwa shida.
Nimekuwa na mipango mingi lakini nashindwa fanya lolote sababu pesa sina kabisa.
Lakini nina pesa yangu ipo NSSF baada ya kupoteza kazi yangu walinipa mafao ya 33% kwa miezi 6 then baada ya...
Mwaka 2014 Sheria ya iliyokuwa SSRA ilianza kutumika kulipa mafao na ikasaidia sana kupandisha mafao ya Mfuko wa NSSF na iliyokuwa PPF ambayo ilikuwa inawanyonya kisheenziii wastaafu kabla ya 2014 Julai. Hata baada ya Kanuni hiyo Mfuko wetu wa NSSF uliendelea kuwanyonya wastaafu wengi kwa kigezo...
Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia 25% iliyokuwa imekataliwa na waliokuwa wanachama wa PSPF na LAPF (waliokuwa wakipata asilimia 50%)...
NSSF ninayoifahamu ni wakali sana mwajiri akichelewesha michango, wakali sana mwajiri asipowasilisha michango ya wanachama lakini NSSF ni wazembe, wavivu na watesi wa wanachama wao pale wanapokuwa hawana michango na wanapofuatilia mafao yao, hata fao la kukosa Ajira tu.
Unakuta mtu anachangia...
Kwenye maadhimisho ya Mei Mosi nilisikia kitu cha ajabu sana kwenye risala ambacho naamini Muheshimiwa Rais hakukisikia vizuri kwani hakukitolea maoni yake.
Hivi inaingia akilini eti mfanyakazi wa shirika binafsi (Private) aliyekuwa anachangia michango yake kikamilifu huko NHIF akistaafu...
21 April 2022
Kigamboni, Dar es Salaam
Tanzania
MRADI MKUBWA WA MAKAZI ULIOGEUKA MAGOFU WATEMBELEWA ILI KUONA UKUBWA WAKE
Mradi huu mkubwa wa mfuko wa Jamii wa NSSF ulianza ujenzi mwaka 2014 ulikuwa ukamilike 2018 lakini mwaka 2016 ukasimama una nyumba 7460 68 executive, twin villas 148...
Najiuliza lengo la serikali kufuta mifuko mingine na kubakisha miwili tu yaan kwa ajili ya wafanyakazi secta binafsi na serikali sioni sababu
Ndugu Wana jamvi mfuko huu wa NSSF una mapungufu yafuatayo
1. Ni taasisi ambayo haifuatilii michango ya wanachama yaani mwajiri apeleke asipeleke kwao...
Hbr na poleni na swaum wana JF:-
Niende kwenye point kuu ya mada hii nina mzee wangu anakaribia kustaafu serikalini kama mtumishi wa umma kwenye kada ya afya, tumezaliwa watoto 4 Mungu ni mwema wote tulibahatika kwenda na sasa tumebahatika kwa uwezo wa Mungu tupo kwenye ajira nini pointi yangu...
Kwako Muheshimiwa Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tunakuomba uondoe hii sheria kandamizi ya fao la kukosa ajira na uterejeshe fao la kujitoa ambapo mwanachama wa NSSF atakua na uwezo wa kuchukua pesa zake zote bila kujali kwamba ameacha kazi mwenyewe au ameachishwa.
Sheria hii ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.