nssf

NSSF
The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.

The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
  1. Replica

    Rock City: Hoteli ya nyota tano ikishushwa na NSSF

    Jengo la Hoteli itakayokuwa na hadhi ya Nyota tano ambayo inaendelea kujengwa na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii NSSF Mkoani Mwanza.
  2. Mparee2

    NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi?

    Huwa najiuliza Kama kweli NSSF na PSSSF zinatoa huduma sawa kwa wafanyakazi Kwanini wafanyakazi wasipewe uhuru wa kuchagua wapi wajiunge ili kuweka ushindani? Nafikiri kukiwa na ushindani walau kidogo mafao kwa wastaafu yataboreka tofauti na ilivyo sasa ambapo mashirika hayana haja ya kuleta...
  3. The Alchemist I

    SoC03 Serikali ianzishe mpango maalum wa NSSF kwa wanafunzi wa vyuo vikuu ili kuwawezesha kujiajiri pindi wanapo maliza masomo

    Dhana ya elimu na ajira kwa wahitimu Ndoto kuu ya wazazi wengi katika jamii ni kuona watoto wao wakifanikiwa katika kila walifanyalo, kama ni biashara basi iwe yenye faida na kama ni elimu basi iwe yenye tija katika kubadilisha maisha ya watoto wao na hata yao wenyewe maana hiyo ndiyo dhana...
  4. SankaraBoukaka

    Je, huyu anastahili kumdai mwajiri wake 10% ya NSSF?

    Habarini ndugu! Kuna mtu kanipiga swali nimeshindwa kumjibu,, yeye alikuwa mfanyakazi sehemu kwa muda wa Miaka 4 na mkataba umeisha juzi Tarehe 31/05/2023. Amekuwa akiulizia kuhusu kuongeza mkataba kwa muda wa mwezi lakini anaambiwa asubiri. Jana Tarehe 01/06/2023 akiwa ameenda kuulizia issue...
  5. Dallas green

    Kwa wenye uelewa zaidi na mambo ya NSSF naomba msaada

    Wakuu, nilirequest mtonyo wangu uko NSSF ten days ago ambapo nilisubmit all recquirments. Jana nimeangalia kwa account nimeandikiwa paid lakin nikaenda bank sijaona mtonyo, kwakua leo ni jumapili nmefail kuwafata ofisini hivyo naomba mwenye uelewa na haya mambo anieleweshe nini tatizo hapo...
  6. Mparee2

    Kikokotoo kipya cha NSSF

    Nilikuwa nasikiliza clip ya ya mwaka jana (Jul) ya Afisa mafao wa mkoa wa Mwanza (James Oigo) akielezea ukokotoaji mpya wa mafao ya mstaafu na pension (33%). Akatolea mfano kwa Mstaafu aliyekuwa na mshara wa shs milioni mbili (2000,000) kwa mwezi; Akasema ataishia kulipwa shs Milioni 30...
  7. BARD AI

    ACT Wazalendo wapendekeza Bima ya Afya ifungamanishwe na PSSSF na NSSF

    Hatua hiyo inafuatia Ukaguzi uliofanywa na CAG kubaini hasara ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), imeongezeka kutoka Tsh. Bilioni 104 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Bilioni 205 mwaka 2021/22. ACT imependekeza Mifuko hiyo ya Hifadhi ya Jamii iwe na Fao la Matibabu ambapo 20% ya Michango...
  8. Z

    Naomba kufahamu juu ya Mafao ya NSSF

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba msaada wa kufahamu juu ya namna gani nitalipwa mafao yangu baada ya ajira yangu kukoma. Niliajiriwa katika kampuni binafsi na niliajiriwa nje ya taaluma yangu. Je naweza kupata mafao yangu yote kwa mkupuo? Shukrani.
  9. mputura

    Nawezaje kupata michango yangu yote NSSF? Kikwazo 33℅

    Habari, Naomba ushauri kwa anayefahamu namna gani naweza kupata pesa zangu zote NSSF ipo kiasi ni chini ya mill 5 na kazi nimeachishwa hivyo ukifuata utaratibu wa kawaida unaambiwa kuna kikokotoo unapewa 33℅ ya gross sallary yako ndan ya miez sita kisha unasubir miez 18 ndio upate yote. Sasa...
  10. DOMINGO THOMAS

    Hifadhi za Jamii Tanzania

    Je, uliwahi pata shida yoyote ulipokwenda kufuatilia mafao yako kwenye mifuko ya Hifadhi ya jamii, iwe PSSSF, WCF au NSSF. Tupe Experience yako kidogo.
  11. Roving Journalist

    Dege, Deceipt na Dr Dau: Jinsi wafanyakazi wa sekta binafsi wanavyodhulumiwa bila kujua

    Na Brian Cooksey, PhD Kwa Ufupi Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) nchini Tanzania umelaumiwa kwa utendaji mbovu wa mradi wa Dege EcoVillage. Mradi huo, ambao uliachwa miaka saba iliyopita, ulitarajiwa kuwa ushirikiano kati ya NSSF na kampuni binafsi ya Azimio Housing Estate Limited...
  12. DOMINGO THOMAS

    Bachelor of Science in Social Protection

    A Bachelor of Science in Social Protection can open up a wide range of career opportunities in various fields related to social work, social welfare, and social development. Here are some areas where graduates with a Bachelor of Science in Social Protection can work: 1. Social work: Graduates...
  13. M

    Mwananchi waomba radhi, wasema mchakato zabuni uuzaji mradi wa Dege waendelea

    Muktasari: Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba amesema thamani ya mfuko huo imeongezeka na kwamba, fedha za wanachama ziko salama. Dar es Salaam. Mchakato wa kumsaka mzabuni kwa ajili ya uuzaji wa mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam...
  14. J

    Zabuni ya kuuza mradi wa Dege bado ipo katika mchakato

    Mkurugenzi Mkuu asema thamani ya Mfuko imeongezeka na fedha za wanachama zipo salama. Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Zabuni iliyotangazwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ajili ya kuuza mradi wa Dege Eco Village uliopo Kigamboni, Dar es Salaam, bado ipo katika mchakato...
  15. BARD AI

    NSSF yakosa tena Mnunuzi wa Mradi wa Dege Kigamboni Mji Mpya

    Ikitimia miezi mitano baada Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kutangaza kuuza mradi wake wa Dege Eco Village uliogharimu Sh330 bilioni hadi sasa, hakuna mzabuni aliyefikia uwezo wa kununua mradi huo. Mradi huo uliopo mji mpya wa Kigamboni jijini Dar es Salaam ulioanzishwa na mfuko huo...
  16. M

    NSSF kipi ni kipi sasa kuhusu hili Fao lenu la Uzazi?

    Niliona wanatangaza kuwa Mwanamke ukiwa umechangia miezi 36 na miezi 12 ya mwishoni ukiwa umechangia mfululizo unastahili hili fao la uzazi, na pia kuna sehemu nyingine nimeona wanasema hata baada ya kujifungua unaweza kuomba ndani ya siku 84 baada ya kujifungua. Cha kushangaza mimi natimiza...
  17. Informer

    TANZANIA: How serial pension fund plunderers avoided Magufuli’s anti-corruption drive

    NOTE: This article was written in 2017 After more than a year in power, Tanzanian President John Magufuli had not managed to address corruption in the power sector, and corrupt pension funds, including the National Social Security Fund (NSSF) also successfully escaped his dragnet. Pension...
  18. Sir robby

    Ufisadi mradi wa NSSF Dege, Kigamboni

    Serikali imetangaza kuuza mradi wa ujenzi wa Dege, Kigamboni uliokuwa chini ya NSSF kutokana na kushindwa kuuendeleza. Ujenzi wa mradi huo ulianza 2014 na Mwaka 2016 Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli iliusimamisha baada ya kubaini kuwa kuna ufisadi mkubwa. Cha kushangaza CCM na...
  19. BARD AI

    Serikali yakwama ujenzi Mji mpya wa NSSF Dege Eco Village Kigamboni, yatangaza kuuza mradi

    Baada ya kusuasua kukamilika kwa mradi wa Dege Eco Village kwa thamani ya dola 653 milioni za Marekani (zaidi ya Sh1.3 trilioni), Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lililokuwa linautekeleza limetangaza kuuza kwa mwekezaji mwingine atakeyevutiwa nao. Ujenzi wa mradi huo wa mji mpya wa...
  20. Dr Msaka Habari

    Bilioni 11 zawekezwa NSSF na Benki ya Maendeleo (TDB) kuhamasisha ukuaji wa sekta ya biashara katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki

    Takribani shilingi bilioni 11 zimewekezwa katika Shirika la Taifa (NSSF)kuhamasisha ukuwaji wa sekta ya biashara katika nchi za ukanda wa Afrika mashariki na Benki ya Maendeleo (TDB). Uwekezaji huo unalenga kupanua wigo wa benki na kuongeza upatikanaji wa fedha kwa wanachama wake ambao...
Back
Top Bottom