The National Social Security Fund (NSSF) is the government agency of Tanzania responsible for the collection, safekeeping, responsible investment, and distribution of retirement funds of all employees in all sectors of the Tanzania economy that do not fall under the governmental pension schemes.
The NSSF was founded in 1997 as the successor to the defunct National Provident Fund (NPF).
SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA MKURUGENZI MKUU WA NSSF
Na MWANDISHI WETU,
Dodoma. Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Bw. Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), baada ya kuhitimisha Bunge...
Habrini za muda huu wadai wa JamiiForums?
Leo nina jambo moja nataka kuzungumzia kuhusu kero ya kufuatilia mafao yako NSSF ya kukosa kazi/ajira au kufukuzwa kazini.
Hatua ya kwanza unakwenda NSSF kuangalia michango yako kama mwanachama kama haujawahi kwenda na hauna kadi.
Ukishajua michango...
Waziri wa Ardhi Jerry Slaa amewatia mbaroni watu watatu wakidaiwa kuwa ni matapeli sugu wa Ardhi Wilayani Temeke ambao wamekuwa wakiuza maeneo kadhaa yanayo milikiwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) na kufanikiwa kujipatia Mamilioni ya fedha.
Jerry Silaa amefanikiwa kuwakamata...
Spika wa Bunge, Dk Tulia Ackson ameelekeza Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi wa Jamii kuwaita na kuwahoji wakurugenzi wa mifuko ya hifadhi za jamii nchini kuhusu madai ya kuwataka wanufaika, kutakiwa kulipa fedha za michango ambazo waajiri wao hawakuilipa mifuko hiyo, ili waweze kupatiwa mafao...
Sisi wafanyakazi wa SGR kwa sasa tupo nyumbani tukiwa hatujui hatima yetu juu ya kinachoendelea kuhusu project hiyo hasa kuanzia Lot 3 na 4.
Ipo hivi, Lot 3 na 4 kwa sasa zimesimama, wafanyakazi tuliokuwa katika mradi huo kwa sasa tupo tu nyumbani, awali tuliambiwa tukae nyumbani hadi...
Jambo hili huweza kusaidia Kwa namba moja au nyingine katika kujikwamua kimaisha mara baada ya masomo hivyo Kwa Tanzania tuitakayo Kwa kipindi Cha miaka 5 Hadi 25 jambo hili linaweza kuwa chachu ya mabadiliko miongoni mwa wanamabadiliko.
Hivi inawezekanaje muajiri amekwisha peleka mishango NSSF alafu ukienda kuangalia salio ukakuta kuna michango kadhaa imechomolewa wakati kabla ilikua inasoma. Hii kitu imewatokea wanachama kadhaa, naomba ufafanuzi Kwa mwenye ufahamu.
Ndugu zangu, kwasasa nipo nje ya ajira. Nahitaji kuchukua mafao yangu ya NSSF. Sasa, jina langu la kwenye account ya NSSF limetofautiana kidoogo na jina langu la kwenye kitambulisho Cha kupigia kura ambacho ndicho kitambulisho pekee nilichonacho.
Yaani Kwa mfano, kwenye NSSF jina ni ZIGONDWA...
Mie kama mmoja wa wachangiaji niliyeona adha ya NSSF nimeona ni wajibu wangu kupaza sauti labda anaweza tokea Kiongozi anayejitambua na kuamua kulibeba hili na kuwasaidia Wananchi wa Sekta binafsi wanaochangia Mfuko wa NSSF.
Shida wanazokumbana nazo Wachangiaji ni zifuatazo:
1. Ukiomba fedha...
Mradi huu ni wa serikali kwa kupitia Taasisi zake.
Aliyeufisadi hajulikani.
Na mwenye mradi hajulikani, lakini fedha zilizotumika ni za Watanzania.
Sikumbuki kama kuna mtu yeyote aliyechukuliwa hatua kwa kufeli mradi huu.
Bunge lipo na Spika wake, na mwenye mradi serikalini yupo.
Pia, kuna...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na maofisa kutoka mfuko wa hifadhi ya jamii wa NSSF kwa nyakati tofauti kuanzia mwezi Desemba 2023 hadi mwezi Aprili 2024 limewakamata watuhumiwa 30 kwa tuhuma za kughushi nyaraka mbalimbali zinazohusiana na mfuko wa hifadhi ya jamii...
Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo.
Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa.
Naombeni msaada wa kisheria.
Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote.
Sijui Maafisa wanafanya kazi gani kama sio kufuatilia malipo ya Wafanyakazi, Je wanataka Watu wakihitaji mafao waanze...
Habari wakuu,
Kuna ajira fulani nilikuwapo nafanya miaka minne nyuma ambapo niliifanya kama 4 yrs nikaiacha bila utaratibu maalumu maana nilipata Safari ya ghafla nikaona mambo yasiwe mengi.
Sasa leo katika kupekua pekua ID's zangu nimekutana na Card ile ya NSSF na nikakumbuka hawa jamaa...
NSSF na Serikali hawaongei lugha moja.
Serikali inataka watu wajiajiri lakini NSSF inataka watu waendelee kuajiriwa mpaka wakifika miaka 55.
Kwa mtazamo wangu mtu alitakiwa apewe 30% ya michango yake kama kiinua mgongo kimuwezesha kujishughulisha mwenyewe bila kutegemea tena ajira wakati bado...
Nimeona taarifa mtandaoni ikisema watumishi wa Umma na Binafsi ambao wamechangia kwa zaidi ya miezi 108 yaani miaka 9 katika NSSF au PSSSF sasa rukhsa kutumia michango yao kama dhamana ya kuchukulia mkopo wa kujenga, kuboresha au kununua nyumba nchini Tanzania.
Kanuni namba 141 za Mwaka 2024...
Malalamiko ni mengi juu ya utoaji wa fao la uzazi, Hivyo tunataka kujua kwanini wanao nao wasipewe Fao hili Kwasababu ndio manajukumu kubwa la kulea Familia hivyo wanahitaji Fao hili ili kuwawezesha Nao kuweza Kukimu uzazi na baada ya Uzazi na maisha kipindi cha uzazi kiujumla
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), umelipa shilingi bilioni 56.689 kama mafao ya wastaafu katika kipindi cha miezi sita iliyoanzia mwezi Julai mpaka Disemba 2023.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Bw. Omari Mziya amesema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari, ofisini kwake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.