"Siasa Hazikuja kwa lengo la Kuleta Uhasama bali kukuza demokrasia katika nchi"
Rais Mstaafu wa awamu ya 2 Mzee Ally Hassani Mwinyi katika mahojiano maalumu na TBC 2016 kwenye maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania
Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5.
Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais.
Una maoni gani kwa wana CCM hao...
Rais anapokea ndege ya Tisa
Taarifa zaidi kukujia
RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA
Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga
Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na...
Nukuu za Katibu wa itikadi na Uenezi CCM wakati akizungumza leo katika Uzinduzi wa Chanjo ya Uviko 19 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.
"Tunamshukuru Mwenyezi Mungu kwa hatua hii muhimu ndani ya Taifa letu. CCM inampongeza Mwenyekiti na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu...
Ni maneno yaliyonipa tafakari kubwa sana hasa wakati huu ambao kila sehemu kuna praise team kuanzia Upinzani hadi Chama Tawala ni maneno ya kufikirisha toka kwa mdau huyo akisema.
"Kadiri kelele na shangwe za kusherehekea amani, huku wakila na kunywa ndipo wakati wa uwangamivu ulivyokuwa...
Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami.
==========
Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
NUKUU YA MSEMAKWELI CHAKUBANGA.
Nikiwa kama mbobezi katika fani ya Uongozi, Master of Leadership and Management, Labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria, haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi...
NUKUU 10 FIKIRISHI NA HEKIMA
1. Ni heri kumheshimu mtu kwa juhudi zake kuliko kusibiri uje ujipendekeze kwake akiwa anakula mavuno ya juhudi hizo kwani huo Ni usakatonge hatari
2. Ni vema kumkosoa mtu usiyekubaliana na Mambo yake na kumpa mawazo mbadala angali hai kuliko kumngoja afe ama afeli...
Nimeonelea nianzishe hii section ili watu tuwe tunapeana maneno ya hekima. Huu ni mwanzo na ruksa kuendeleza thread (mada) hii ili mradi uwe umejisajili. You may use any of the two official languages, Swahili or English.
Karibu
+++++++++++++++++++++++++++++++++++++
If we don't change, we don't...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.