number

  1. khmbrzy

    AVN number kutoka Nactvet

    Habari nduguzangu, Mimi ni muhitimu wa diploma, nahitaji kuendelea na masomo ya degree, ila nina changamoto moja, ni kwamba kwenye account yangu ya kuomba AVN number nimesahau password na nikitaka ku reset inasema niweke number ya simu ya zamani ambayo kwa sasa siitumii, yaani sina kabisa hiyo...
  2. F

    Fisi wenye plate number: Ni kwamba Simiyu wapo mbele ya wakati au serikali ipo nyuma ya wakati?

    Tuziite plate number au chapa, kwa vyovyote ni utambulisho wenye mfumo unaoeleweka na wenye kuonesha umiliki. Kama kuna MALLA N7, basi MALLA N1, N2, N3, etc wapo pia, pengine kuna MALLA N2347, nani anajua? Huu mfumo wa utoaji plate number au chapa kwa fisi nani anausimamia? Tumezoea kuona plate...
  3. Dabil

    Seleman Mwalimu anakwenda kuchezea klabu namba 3 Afrika, Mzize yupo anabangaiza klabu namba 12

    Dunia haina fair,Seleman Mwalim kasajiliwa na Wydad club namba 3 Africa huku Mzize akibangaiza na timu namba 12 . Nafasi waliyomnyima Yanga Mzize ndo hiyo aliyochukua Seleman Mwalimu ,bahati haiji mara mbili tumempata Ajibu wa pili.
  4. Mad Max

    TRA: Ukitoka kuagiza gari kutoka nje (Mfano Japan), lazima uwe na TIN number

    Naona utaratibu unazidi kubadirika. Kuanzia tar 20 Jan, 2025 unavoagiza gari kutoka nje ya Tanzania, lazima utume na TIN number, sio kama zamani ulikua unaitumia wakati wa kutoa gari. Admin kutoka Mapato TRA Tanzania njoo ufafanue.
  5. Last sentinel

    Award verification number na computer programming classes

    AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
  6. figganigga

    Je, Tundu Lissu ashitukia biashara za Freeman Mbowe? Ahoji biashara gani haina TIN Number?

    Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya yanatokea wapi na ni salama kiasi gani? Kama mtu ana biashara Nchini au Nje ya Nchi, kuna biashara...
  7. G

    Wataalam wa hesabu, Kuna magari mangapi yaliyosajiliwa Plate Number A mpaka E?

    Kuanzia Plate number AAA mpaka E ya mwisho, kuna magari mangapi Hint: Kuna herufi za platenumber huwa zinarukwa
  8. Nyarupala

    Kwanini Alphabet "I"/ài/ Kwenye plate number za magari haipo?

    Watu wa magari au wenye uelewa na hizi namba za magari mtueleweshe kwanini hiyo herufi huwa haipo kwenye mtiririko wa usajili au plate number? Nimezoea kuona magari yenye namba za usajili kama T 567 DJJ au EJK au vyovyote lakini heru I/ài/ huwezi kuikuta. mafano huwezi kukuta gari lina...
  9. A

    Je TIN(tax identication number) iliyosajiliwa kawaid inaweza kutumika kutoa mzigo bandarini?

    Habari wakuu, husika na kichwa Cha habari tajwa. Mfano nimesajili TIN kwa ajili ya duka la kawaida na inaonekana Ina mtaji mdogo mfano 1M lakini itumike bandarini kuto mzigo unaozidi hio 1m mfano 5-10M , je hii haitaleta shida?
  10. L

    KERO Control number issue

    Sifahamu, ni tatizo la kiufundi, mifumo mbovu au mazingira ya rushwa? Ukitaka kufanya malipo kwenye taasisi hizi za umma kama Tanesco, Duwasa kwa Dodoma na nyingine kama hizo, ili upatiwe huduma husika imekuwa ni shida sana kupata 'CONTROL number' kwa ajili ya kufanya malipo. Mara nyingi watoa...
  11. Last sentinel

    COMPUTER CLASSES AND AWARD VERIFICATION NUMBER

    Hellw jf,kwa mwenye shida na AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN),tupo kukusaidia na kukushauri.Pia tunatoa huduma ya computer classes for beginners i.e introduction to Ms-Word,Ms-Excel,Ms-Powerpoint,Ms-Access,Ms-Publisher na Internet and website.Pia tunatoa programming classes i.e Introduction to C...
  12. Mad Max

    Content Creators mnaoanza (Episode I): Unatumia camera gani kutengeneza maudhui yako?

    Wakuu, especially mnaopenda tasnia ya "content creator" kwenye social media, naanza kwa kuwauliza, unatumia camera gani kurecord video? Iwe ni kwaajili ya YouTube, au kwaajili ya Instagram au TikTok, quality ya video na audio jumlisha na storyline nzuri ndio vitakavyokuweka tofauti na...
  13. A

    KERO Serikali itusaidie kupata AVN number wahitimu Diploma UDOM

    Sisi Wahitimu wa ngazi ya Diploma katika Chuo kikuu cha dodoma tuna changamoto ya kutopatiwa Award Verification Number (AVN) mpaka sasa hali ambayo inatufanya tushindwe kufanya maombi kuomba katika vyuo vingine licha ya kukosa dirisha la mkopo. Tunataka kuendelea na elimu ya juu lakini...
  14. Mad Max

    Wewe Tajiri mwenye Ferrari nyekundu, custom number plate "SPYDER" upo humu JF?

    Aisee! Kwenda Coco mara moja tu napisha na chuma ya Italia, iko na custom number "SPYDER". (Picha nimetumiwa tu baadae)! Nakuja ambiwa ni kijana kutoka Familia ya kitajiri wauza rambaramba na unga wa ngano. Ferrari 458, 4.5 V8 engine, wazee wa 5km/L. Tutafute hela
  15. Last sentinel

    Award Verification Number

    AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
  16. M

    Naomba msaada kuhusu AVN Number

    Wakuu Naombeni msaada nipeta AVN NUMBER lakini kila nikiomba chuo sehemu ya kueka AVN INASEMA no data found shida ni Nini ?!
  17. kyagata

    Kuna jamaa yangu kanipa number ya mkewe nimtest kumtongoza kama atakubali

    Wakuu,hizi ndoa za siku hizi sijui zina tatizo gani. Kuna huyu jamaa angu amefunga ndoa mwaka jana December na binafsi nilichangia sherehe ya harusi yake. Sasa bana siku za hivi karibuni namuona jamaa amefululiza kupiga tungi sana so jana nikapata wasaa wa kukaa nae kujua kulikoni mipombe kila...
  18. Tabutupu

    Kwanini NIDA wanauliza maswali wakati nahitaji kutumia NIDA number?

    Nimeenda brela kusajiri biashara yangu tabutubu limited, nimetakiwa kujaza form ambayo inanihitaji niweke nida namba na nimeulizwa maswali kibao utadhani namba ya nida nimeiba.. Nimeulizwa kijiji na mtaa nilio andikisha nida.. mimi nimeandikiswa tegeta hata kijiji sikumbuki, mara shule niliyo...
  19. D

    Yanga wahuni, E-mail feki, number feki, kuna shida hii club

    Ndio maana Manara anawapanda kichwani. Organisation haina known e-mails wala contacts online. Kuna shida, kuna watu wanajimilikisha hii team.
  20. Foxhunters

    Naomba link ya LATRA niweze kutengeneza control number ya kulipia bajaji.

    Kichwa cha uzi kinajieleza.naomba kwa mwenye uelewa anisaidie
Back
Top Bottom