Samahani nilikua naomba kazi kampuni x vigezo vikawa tin number nikampa mtu anitengenezee yeye akatengeneza ya non businesses Sasa imekataliwa nafanyaje kubadili msaada jaman
Wakuu, Kuna kitu kinanipa shida sana kuhusu utendaji wa Idara za Ulinzi na Usalama nchini, bado zinafanya kazi kizamani na kikoloni sana. Wakati dunia imeadvance kwenda kwenye Teknolojia wao bado wanafanya kazi kwa utaratibu wa kishamba sana.
Kuna huu utaratibu wao kutumia magari yasiyo na...
Naomba kuuliza
Wiki iliyopita huku nyanda za kaskazini nilienda TRA kwa ajili ya kupata TIN number na tax clearance ya kampuni, baada ya kulipa rental tax na stamp duty nikaambiwa nitafute muhasibu aniandalie provisonal return statement ndo nitapata tin number pamoja na tax clearance.
Au nimpe...
Government Electronic Payment Gateway (GePG)
Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi?
Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
Watoto walikuwa wanasoma kwenye shule ya English Medium nikawapeleka kwenye shule ya kiswahili. Shule ya English Medium hawakunipa uhamisho kwa sababu walikuwa bado wananidao so nikawa nalipa deni lao taratibu ili nikikamilisha wajue prem number za watoto. Now Mungu ameniinua tena kiuchumi...
Habari wadau,
Ninatumaini kuwa mnaendelea vyema na Majukumu.
Mimi ni Mhitimu wa diploma idara ya Umeme katika taasisi ya teknolojia Dar es salaam DIT Mwaka wa masomo 2021/2022.
Ninawaandikia thread kuomba msaada na kufikisha Malalamiko yangu kuhusu kucheleweshewa au kushindwa kupatiwa...
Habarini wadau,
Mimi ni mdau nilie kwenye utaratibu wa kurejeshwa kazini.
Nina barua yenye check namba..... inanitaka niombe kazi nionapo tangazo limetangazwa ili niweze kurejeshwa upya kwenye mfumo HCMS na kuweza kupangiwa kituo cha kazi.
Swali je nikiomba tu psrs au mamlaka yoyote ya ajira...
Salamu wakuu.
Asee leo nina mzuka wa kutoa stori ya wrong number.
Asee katika miaka yangu ya ujana sina kazi ila najishughurisha tu na mitikasi ya mtaani, sasa sku moja nimechil geto nikasema wacha nikosee number mara mbili ilienda kwa machizi na kuwambia wrong number sasa mara ya tatu ikaenda...
Nawasalimu wadau
Bila kupoteza muda, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la wamiliki wa magari kutembeza magari yao wakiwa wametoa plate number ya mbele na kuziweka ndani, hii hali nimeiona zaidi nikiwa mkoa wa dodoma.
Sasa sijui ndo mageuzi au basi tu ni kupungua kwa...
The US Department of Defense (DoD) is exploring the possibility of developing a large-scale network of AI-powered technology, drones, and autonomous systems to counter threats from China within the next two years.
The DoD is concerned about China's rapid military modernization, which includes...
Habari
AVN number kutofautiana na transcript ya chuoni.
Nifanye nini ili niweze kuappy chuo kikuu maana kwenye AVN number nina gpa 2.4 ila transcript yangu niliyokabidhiwa nina gpa 3.6
Naungana na ACT wazalendo kwenye hoja yao waliyoelekeza kwa Waziri mwenye dhamana na masuala ya maji: wateja wanaolipia kuunganishiwa maji ni wengi lakini hakuna vifaa. Ukiuliza unaambiwa serikali haijatoa vifaa. Wateja wenye mifumo ya maji isiyotoa maji ni wengi na hakuna sababu za kwanini maji...
Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Polisi Ramadhani Ng’anzi ameieleza Clouds FMkuwa sio kosa kwa mtu kutumia Plate Number zenye mfumo wa 3D ila tu kinachokatazwa ni mtu kujitengenezea namba hizo yeye mwenyewe mtaani ikiwa tenda hizo zimetolewa kwa watu maalum.
Chanzo: Clouds Media
Naona watu wengi wanalalamika Jeshi la polisi kupiga marufuku plate namba za 3D. Katika hali ya kawaida na mtu yoyote mwelevu hawezi kimbilia kuweka namba za 3D, ili hali akitambua
1. Plate number zina viwango ambazo zimethibitishwa na TBS pia.
2. Plate number zenyewe bila kuwekewa 3D zile...
Kwa wale waliobahatika kuwa na usafiri kama umebandika tinted kwenye taa za mbele na nyuma kuna msako wakukamata unafanywa na polisi
---
Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kuwakamata madereva wa magari wanaoweka ‘tinted’ kwenye taa za mbele na nyuma...
Habari Naitwa MR AVN MASTER.
Nimerudi tena. Nafanya Maombi ya AVN Number NACTE, kama umekwama popote ni inbox/ nitext kwa namba hizi 0622569980 tusaidiane. Usipoteze muda kwa kupigwa pending au Account Block.
Nothing is impossible, nitext tusaidiane.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.