nunua

  1. Balqior

    Wanaume, mshawahi nunua dadapoa wanaojiuza sababu ya starehe?

    Hello Wote tunajua kuwa wadada wanaojiuza barabarani, wanajiuza sababu ya umaskini na ugumu wa maisha. Ila nina swali, kuna idea niliisikia kutoka kwa baadhi ya wanawake, tena tofauti tofauti, kuwa sio wadada wote wanaojiuza barabarani wanajiuza sababu ya umaskini, au tamaa ya kupata hela ya...
  2. chizcom

    Hakikisheni mnaponunua nyumba za watu ndiyo yenyewe na kiwango

    Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook. Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha...
  3. NetFasta

    Ofa: Nunua Hosting Kwetu na Utengenezewe website bure

    💥OFFER-OFFER-OFFER💥 NetFasta.Com - Stress-Free Web Hosting 💥 Jipatie Web Hosting Ya Mwaka Mmoja Kwa Tsh 150,000 Tu! 💥 Kwa Kifurushi Chochote Utakacho Chagua Na Utapata Ofa Hizi: 1️⃣ Utapata Domain Ya .Com Bure 2️⃣ Tuta-Design Website Yako 1 Bure 3️⃣ Kama Una Website Ziko Kwenye Hosting Nyingine...
  4. Jackson News

    INAUZWA Nunua Bidhaa online kutoka china aliexpress TZ

    Top On Sale Product Recommendations! New Summer Girls Sandals Breathable Children Shoe Outdoor Non Slip Open Toe Beach Sandals Price Now: TZS 37842.17 (Original price: TZS 105113.66, 64% off) 🔗Click & Buy: Here on Aliexpress Tanzania From China #Aliexpress #Amazon #Christmas #shopping...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

    Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane. Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia. Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe...
  6. Mad Max

    Ferrari wamezindua Ferrari F80, inayouzwa Tsh Billion 10.5 tu! Na ata kama unayo iyo pesa, huwezi nunua kwasababu yameshauzwa yote!

    Ni tabia ya Ferrari kuzindua racing-inspired supercar kila baada ya miaka 10, na last time 2013 tuliletewa Ferrari LaFerrari, na sasa mrithi wake amefika. Ferrari F80 ni supercar. Ni racing car. Ina DNA za Ferrari 499 na SF NB: Ferrari 499 ni hypercar iliyoshinda LeMans mara mbili. Na SF...
  7. Mad Max

    Wazee wa First Car: Nunua Mazda Verisa chap chap kabla TRA hawajapandisha kodi!

    TRA Tanzania wametumwa kodi na sisi tunataka kuendesha vyuma kutoka Japan sio kwa Sossi Magari. Sasa kuna tabia ya hawa ndugu zetu kupandisha kodi ya gari maradufu wakiona uhitaji unakua mkubwa, nina mifano mingi ila naomba niwape miwili. Wa Kwanza Mwaka jana (2023) nilikua nasaidiana na...
  8. kingjohn255

    Nunua gari unayoweza kuihudumia na sio gari uipendayo

    Watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kununua gari wanazotamani kuwa nazo, lakini ukweli ni kwamba matumizi ya gari kuna muda ni makubwa kuliko uhalisia wenyewe, mimi kama muagizaji na muuzaji wa magari leo napenda kuwashauri jambo moja kuhusu fomula ya kutumia gari. Nunua gari ambayo unaweza...
  9. Frank Wanjiru

    SOLD OUT: Nunua bia nne ujipatie ticket ya Simba Day

    Hii ndio ile Sold out tunayotamba nayo, unanunua bia 4 kisha unajipatia ticket ya bure ya Simba Day.
  10. Comrade Ally Maftah

    INAUZWA Mashine za incubator zinauzwa

    CAM STORE INCUBATORS - KIATAMISHI MAYAI 60 / TREY 2 BEI 350,000 TU. SIFA ZA MASHINE ZETU. KITU CHA ZIADA UTAKACHOPATA KWETU. ■Elimu buree ya kitaalamu ya ufugaji. ■Usimamizi wa mradi wako. ■Utafutiwaji wa masoko ■Mayai ya kutest mashine ■Nakama haitoshi tutakupa zawadi kemu kemu...
  11. Mad Max

    Ukipata Hela Nunua Gari Kali, Mafundi na Spea tutajua uko uko..

    Kama uchumi unaruhusu, nunua chuma kali tu.. Mengine tutajua uko uko.. Na mafuta tujitahidi kuweka kutoka kwenye vituo vya mafuta vinavyoaminika.. Sema issue ndogo ndogo kama kuosha tujitahidi kupeleka car wash za uhakika ili kutunza rangi.. Na tusijenge hate, acha watu wapigaie picha chuma...
  12. Bigmaaan

    Nina Halotel CUG Line, nawezaje nunua vifurushi vya kawaida?

    Wakuu husikeni na kichwa hapo juu. Naomba muongozo wenu.
  13. Abubakari Mussa

    Ulinzi wa TV pamoja na Friji

    Mdau umewahi kusikia kuhusu Tv guard ama Fridge Guard? "Bidhaa za Ulinzi wa TV na Jokofu: Kuweka Vifaa Vyako Salama na Imara! Je! Umewahi kuwaza jinsi ghafla umeme unavyozimika au kuwa na spikes za umeme zisizotarajiwa zinaweza kuathiri vifaa vyako vya umeme kama TV na jokofu? Ndiyo maana...
  14. D

    Wageni wanapewa vibali vya kununua ardhi Zanzibar na Tanganyika. Mtanganyika hawezi nunua ardhi Zanzibar. Mbona sielewi?

    Mamlaka ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imewakabidhi Raia wanne wa kigeni vibali na kadi za utambulisho wa kuishi Zanzibar na Tanzania kwa ujumla baada ya baadhi ya kanuni za uhamiaji kuruhusu Wageni walionunua nyumba Zanzibar zenye thamani ya dola laki moja za Kimarekani ( zaidi ya milioni 250 )...
  15. bezos2019

    Nunua pakti moja ya vikombe 50 kwa Tsh. 8000/=

    0787 345 816 nipigie. Kwa 8,000/= tu unapata pakti ya vikombe 50. Nipigie kwa idadi yoyote ntakuletea, Dar ama mkoa wowote.
  16. salehe magari mazuri

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  17. Notorious thug

    TANESCO wameshindwa kujiendesha

    Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naona ni muda muafaka wa kuuzia hili shirika wadau wa DP WORLD afu Bandari tukabaki nayo naona Tanesco wameshindwa kujiendesha. Bado tunawasha mishumaa na makoroboi 2023 kisa umeme hamna zaidi ya masaa 34 aibu TANZAGIZA.
  18. freelancer2302

    Kuadimika kwa fedha za kigeni

    Jamani hii ishu ya dollar kutonunulika na wananchi popote kwenye taasisi zenye fedha imekaaje? Wapi tunaweza nunua?
  19. Vhagar

    Nunua kitu kwa kuzingatia unahitaji nini hasa kutoka kwenye bidhaa husika

    Kama una pesa za kupoteza yaweza usijali sana. Wafanya biashara na watoa bidhaa wanafanya kila mbinu kuitaka pesa yako. Wana kila mitego ambayo usipoangalia unaweza kuwa mtumwa wa kununua vitu bila mpango. Matangazo kila station ya redio na tv kupamba bidhaa. Hii kesi hasa ni kwa bidhaa za...
  20. FlyingDutchman

    Nunua pipi mwaka 2023

    Nenda dukan nunua pipi mfuko mzma fanya mgao Kwa watoto ,isiwe mara Moja fanya Zaidi na Zaidi Kwa kifupi Kama wazitaka Baraka mwaka 2023 wafanye watoto wadogo kua na furaha You cant be happy kwenye hi dunia if you can't find excitement in small things Mwandishi mmoja maarufu amewai andika...
Back
Top Bottom