Naomba muongozo kwa yule ambae amewahi nunua refubrished lg v20 au lg g6 aliexpress maana nataka nitoke kwenye shida za tecno naomba msaada wenu tafadhali.
Nakama una weza nieleza kwa simu hiyo naweza lipia kodi hadi bei gani.
Ni wazi suala la kununua Dreamliner limetupiga sana, kwa kuwa tulitegemea zingepiga route za nje na kuingiza faida lakini mambo hayajawa hivyo. Na Corona imeharibu hata zaidi.
Ushauri wangu kwa raisi ajae, Tundu Lissu au Magufuli - uza hizo Dreamliner tuweke kipaombele kwenye flights za ndani...
Waungwana habari za wakati huu? Poleni kwa kampeni zinazoendelea na hongera kama chama chako kinafanya vizuri!
Ndugu naomba kujuzwa ni wapi naweza pata Joho la kununua angalau moja au mawili kwaajili ya biashara yangu ndogo.!
mimi nipo singida.
NB: joho saizi ya mtu mzima, na kofia yake.
asanteni.
Habari wakuu,
Naomba kujua ni wapi naweza nunua domain ya website na nikaimiliki mwenyewe.
Naitaji iwe ya .co.tz
Mfano www.dawati.co.tz
Nataka ninunue moja kwa moja bila kupitia kwa developer kwa sababu nilishawai kuwa na website/blog lakini mwisho wa siku sikuweza kuwa na access ya moja kwa...
Wakuu Salaam;
Nimezunguka madukani kutafuta sukari ili nipate chai angalau nichangamke kipindi hiki cha mvua maana baridi ipo kweli huku duniani niliko, sasa kila duka naloingia naambiwa sukari hamna!
Nimejaribu kwenda hadi maeneo ya stendi lakini bado sukari najibiwa hamna.
Nimeamua ninywe...
Wiki Iliyopita nimepigiwa simu na Rafiki yangu akihitaji msaada namna ninavyoweza kupata suluhisho ya jambo limetokea kwenye kampuni "Y" ambayo ni ya rafiki yake juu ya manunuzi waliyofanya mtandaoni.
Case ilikua kama hivi, Kampuni Y ya Tanzania ilikua inahitaji kemikali yenye form ya powder...
Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
Hapo vip!
Hii ni mitambo inayotengenezwa Marekani ni mitambo Bora na imara kuliko mitambo ambayo umeshawahi kutumia kutoka katika makampuni mbalimbali.
sifa ya mitambo hii.
-hata jua likiwa hafifu panel zake zinacharge betry kwa kasi kubwa.
-Hata jua lisipo toka week nzima unapata umeme
-Kila...
Habari zenu wadau.
Kama kichwa cha habari kinavyoonyesha. Ni wapi naweza pata engine ya 1HZ iliyo katika ubora mzuri. Pamoja na swala hilo la ununuzi, pia ningependa kufahamu mambo yafuatayo juu ya hiyo engine.
1. Bei yake inaweza range kiasi gani?
2. Ni vitu gani vya kuzingatia katika...
Heshima kwenu wabobezi wa mambo haya.
Naomba ushauri wenu kwenye kumiliki kati ya hizi gari mbili....ipi ni nzuri na nitaimudu?
Binafsi nafanya kazi kwenye migodi, hivo ningelipenda kuwa na usafiri ambao ntadumu nao kwa muda mrefu unless mtu afike bei na kunivua.
Land Rover RangeRover Evoque...
Anae hitaji app nauza nnazo mbili moja inausu group link za whatsapp nyingine inausu mambo ya vichekesho pia anae hitaji Google play account nauza bei maelewano nicheki pm tufanye biashara
Quo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.