Uongozi wa Wonderwell Daycare and Nursery School Daycare iliyopo Mikocheni unawatangazia nafasi za kazi kwa walimu wakike waliobobea kwenye taaluma ya makuzi ya watoto.
Shule ni mpya na Usaili utafanyika kuazia jumatatu, mwalimu afike shuleni akiwa na nakala za vyeti vya kitaaluma na wasifu...