Tuliomaliza shule ya Chekechea ya Step UP Nursery School ya Sinza miaka ya 90s nadhan mpaka miaka ya 20's. Mpo wapi Tujuane Wadau

Tuliomaliza shule ya Chekechea ya Step UP Nursery School ya Sinza miaka ya 90s nadhan mpaka miaka ya 20's. Mpo wapi Tujuane Wadau

Erick Martie

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2015
Posts
341
Reaction score
371
Leo nlikuwa napitia baadhi ya mitihani yangu ya shule ya Chekechea nimekumbuka sana wadau au classmates zangu wa Chekechea katika kindergarten ya Step Up Nursery School, tulikuwa tunavaa shati za pink na kaptura au sketi za light bluu, dah kitambo sana.
Binafsi nlimaliza 1997, nlisoma Nursery hiyo kwa miaka 2, nakumbuka pia tulihamaga majengo ingawa ilikuwa mitaa hiyo hiyo ya Sinza, kwa Juu huku, I think ilikuwa karibia kanisa la Kwa Kakobe kwa nyuma...
Asee Kitambo sana... Anyway Kuna yoyote pia alisoma ktk shule hiyo karibu Tushare jukwaa...
 
Binafsi nlimaliza 1997
Wakati huo nasoma sekondari tunatoroka boarding school tunaenda kula samaki na mihogo beach.
Tukiwa tumevaa mashati makubwa ya draft maarufu dogg-doggy chini tumetupia jeans na raba Kali ya mtumba. Tukimuiga msanii Snoop Dogg.
Siku zimeenda aisee.
Uzee tayari.
 
😅😅 Muda wa kuacha kutumia Chumvi na sukari huu....
Wakati huo nasoma sekondari tunatoroka boarding school tunaenda kula samaki na mihogo beach.
Tukiwa tumevaa mashati makubwa ya draft maarufu dogg-doggy chini tumetupia jeans na raba Kali ya mtumba. Tukimuiga msanii Snoop Dogg.
Siku zimeenda aisee.
Uzee tayari.
Ahaha muda wa kuacha kutumia Chumvi na Sukari huu...
 
Back
Top Bottom