Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Morogoro, Ndugu Nuru John Ngereja ameanza majukumu yake rasmi baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Katibu CCM Mkoa wa Morogoro, Ndugu Solomon Kasaba
Ndugu Nuru John Ngereja amefanya zoezi la kukutana na kujitambulisha kwa viongozi mbalimbali wa...