Kocha wa Kaizer Chiefs, Nasreddine Nabi alikuwa hapa nchini kwa siku mbili kisha kufanya vikao na mabosi wa Yanga aliowahi kufanya nao kazi kwa mafanikio lakini amewaambia mabosi hao kuwa anaamini Yanga itacheza nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu huu.
Nabi amefanya kikao na Mfadhili...
Kwa mara ya kwanza ndani ya misimu mitatu niliiona Simba Ile iliyobeba ubingwa wa ligi mara nne mfululizo.
Mbali na Simba kupoteza jana lakini nilishuhudia Simba ya hatari inayokuja hapo mbele, timu ambayo inaweza kumzuia Azizi Ki na Pacome wasiingie kwenye boksi ni timu ya kuogopa sana...
Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal?
Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan.
Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda...
Ngao ya Jamii: Alhamis hii ni nusu fainali ya wababe. Saa 1:00 usiku ni Kariakoo Derby Yanga SC dhidi ya Simba SC ngoma itapigwa dimba la Benjamin Mkapa.
Dakika 2, Mpira umeanza kwa kasi sana.
Dakika 4, Yanga wamekosa nafasi ya wazi baada ya Prince Dube kupiga mpira ukagonga nguzo ya goli...
Hivi ndivyo ninavyojua na ndivyo itakavyobaki katika Halmashauri ya Kichwa changu. Kwamba Young Africans mwaka 2023-2024 walishiriki CAF CC na kufika hatua ya nusu fainali kwa kuifunga timu ya Mamelod Sundowns Goli 1 -0. Timu hiyo ilinyimwa ushindi huo kwa maksudi ya VAR officials kwa...
Nyota njema huonekana asubuhi. Mpaka Sasa Caf hawajapanga tarehe ya nusu fainali ya club bingwa Africa. Hii inaashilia barua ya Yanga inafanyiwa kazi.
Mungu si Athuman, lolote laweza kutokea.
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.
Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
Hii italinda heshima ya soka bora walilonao.Italinda heshima ya timu na wachezaji kwa ujumla.Viongozi wao wakae chini wafikirie mara mbili.
Timu yao ni kubwa sana ni bora wajitoe kulinda sifa waliyonayo pamoja na wachezaji wao wakubwa wa dunia walionao.Wasiangalie njaa ya leo wakajivunjia...
Klabu ya Yanga inaweza kukata rufaa kwa baraza linalosimamia soka na kuripoti rasmi kesi ya upangaji matokeo chini ya kifungu XVI kifungu kidogo cha 3 kinachosema;XVI. FRAUD -ADMINISTRATIVE ERROR - MATCH FIXING. na Kama itathibitishwa basi Mamelodi inaweza kuondolewa kwenye michuano na Young...
Motsepe ametia aibu soka la Afrika.
Hata waarabu huwa hawakataagi magoli ya wazi namna hiyo.. kiasi inakuwa ngumu ku rule out kwamba refa amekuwa bribed.
Afrika nzima inaandamana mtandaoni wanasema "it was a clear goal"
Kuna hashtag ina sanaa kama moto wa nyikani huko mtandaoni watu wanasema...
Mtaniii,
Leo usiku zinatarajiwa kucheza mechi mbili za kihistoria ambapo Simba na Yanga zitakuwa ugenini kwenye ng'we ya pili ya robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa.
Simba wapo Misri kumenyana na Al Ahly wakitafuta kupindua meza baada ya kupoteza mchezo wa nyumbani kwa bao 1-0!
Yanga wapo...
Ukiacha Usimba na Uyanga pembeni kuna faida kubwa ya timu zetu kuingia nusu fainali kuliko unazi wetu
a) Kwanza Simba atapanda kiwango na rank toka point 39 mpka 54
Hiyo ni regardless kama Es Tunis atafuzu
b) Hivyo hata msimu ujao wa kwenye upangaji wa makundi atapanda Toka pot 3 kwenda pot 2...
Mtabili maarufu wa nchini Libya Aboubakar El Han ametabili mechi za Caf champions league
Huku akiwashtua watu wengi baada ya kusema Al Ahly ya Misri itatolewa na Simba kwenye mashindano hayo,
Timu alizozitabilia kuingia nusu fainali nazo ni
Simba
Mamelody
Esperance
Tp mazembe
Je, atafanikiwa.
Very interesting, @simbasctanzania vs @alahly hii game ni 50/50 hata Simba akitoa sare Kwa Mkapa bado game itabaki 50/50 na uamuzi utafanywa Cairo kwa mikwaju ya penati. Katika hili naiona bahati kwa Simba japo kuna marekebisho makubwa ya haraka yanatakiwa kufanywa kwa kikosi hiki safu ya...
Mfano kwa hapa kwetu Simba na Yanga ikitokea huko mbele moja aongoze kundi mwengine ashike nafasi ya pili, inawezekana?
Uwanja wa nyumbani na ugenini utakuwa upi?
Uwanja wa Stade de la Paix, Bouaké
Mwamuzi wa kati ni Amin Omar, raia wa Misri
Dakika 90 zimekamilika matokeo ni 1-1, sasa zimeongezwa dakika 30, mtnage unaendelea
Nigeria ilianza kwa kupata goli lake kupitia kwa bei wa kati William Paul Troost-Ekong anayeichezea Klabu ya PAOK ya Ugiriki kwa...
Licha ya Timu ya Taifa ya Ivory Coast kucheza pungufu kuanzia kipindi cha kwanza dhidi ya Mali katika Robo Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika, bado hiyo haikuwa kikwazo cha kuingia Nusu Fainali kwa kushinda magoli 2-1, Februari 3, 2024.
Ivory Coast ilimpoteza Odilon Kossounou aliyepata kadi...
Nimeona jinsi timu za Morocco, Egypt na leo Guinea walivyolia kwa kutoingia quarter final au semi final. Yaani wanaumia. Ila wachezaji wetu sikuwahi kuwaona wakisikitika kwa kutofanya vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.