69' Julian Alvarez anafunga goli la tatu akimalizia kazi nzuri ya Messi
60' Timu zinashambuliana kwa zamu
58' Messi anakosa nafasi nzuri, shuti lake linapanguliwa na kipa
55' Argentina wanaamka na kufanya mashambulizi ya kushtukiza
50' Croatia wanamiliki mpira na kupiga pasi nyingi
Kipindi cha...
Mwaka 2004 ugiriki walibeba kombe la mataifa ya ulaya wakati haikutarajiwa. Walikuwa wanafunga goli halafu wanarudi nyuma na kupaki basi. Hapakuwa na burudani kwasababu timu moja ndio ilikuwa inacheza peke yake huku nyingine ikizuia.
Morocco naona wameanza vizuri kwa kufuata mfumo kama ule...
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.
Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili.
Ukicheki mpira wa Croatia...
Baada ya kuingia 16 bora, atacheza na Australia halafu kwenye robo fainali atakutana na mshindi kati ya Uholanzi na Marekani.
Hapo Argentina wanawaza watakutana na nani kwenye nusu fainali maana hakuna timu yoyote ya kuwasumbua katika hizo tajwa hapo juu.
Kiutani namna hii Argentina anakwenda...
Bondia Yusuf Changalawe amemtoa kwa TKO, Arthur Lingelier kutoka Visiwa vya St Lucia na kutinga Nusu Fainali katika michezo ya Jumuiya ya Madola Jijini Birmingham Nchini Uingereza.
Kutokana na matokeo hayo, Tanzania imepata uhakika wa medali katika michezo hiyo.
Kabla ya hapo, Changalawe...
YANGA KUFIKA NUSU FAINALI KLABU BINGWA 2022/23?
Mwaka 1974 Klabu ya soka ya Simba ilipewa jukumu la kuiwakilisha Tanzania katika michuano ya klabu bingwa barani Afrika. Simba ambao walipata tiketi hiyo baada ya kutwaa ubingwa mwaka 1973 walijikuta wakiwa na deni kubwa kwa vile watani zao Yanga...
Ukiangalia uwezo wa timu zote zilizowahi kuitoa Simba Sc robo fainali,ni timu zenye kasi sana. Orlando Pirates na Kaizer Chiefs. Angalia pia timu zinazopenya nusu fainali,hakuna timu inayocheza slomo.
Usajili uliofanywa na Simba kwa Augustine Okra na Phiri ikiwemo anayetajwa kusajiliwa Okwa ni...
Timu za Real Madrid na Villarreal zimefanikiwa kufuzu Hatua ya Nusu Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya baada ya kuziondosha mashindanoni Chelsea na Bayern Munich katika mechi za kuamkia leo Aprili 13, 2022
Chelsea ambayo ilifungwa mabao 3-1 katika mchezo wa kwanza, ilipambana na kufikisha mabao...
Tusheherekee zetu tu kwa Kushinda jana na Kufuzu huko Robo Fainali ya CAFCC na kupata hicho Kitita cha Shilingi Milioni Mia Nane ( 800,000,000/= Tsh)
Ila kwa Mpira mbovu niliouona Jana huku Beki Onyango, Beki Tshabalala, Viungo Mkude na Kanoute na Washambuliaji Morrison na Sakho wakionyesha...
Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka:
1. SIMBA VS PAMBA
2. YANGA VS GEITA
3. AZAM VS POLISI
4.COASTAl VS KAGERA
NUSU FAINALI:
Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA
Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA
Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na...
Ikiwa leo ni nusu fainali ya Afcon kati ya Wenyeji Cameroon dhidi ya Misri, tayari fitna za Etoo na kundi lake zishaanza kazi kwa kufungiwa kwa kocha msaidizi wa Misri, kwa kinachodaiwa vurugu kwenye mechi ya robo fainali dhidi ya Morocco.
Swali langu ni hili: Je, wachezaji wa Misri nao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.