Mdude Nyagali maeachiwa kwa dhamana na Mahakama ya Hakimu Mkazi Songwe hii leo Disemba 06, 2024 baada ya kukaa Mahabusu kwa siku 15 katika vituo vya Polisi vya Ileje Songwe, Inyala Mbeya, Kituo cha Polisi Kati Dar Es Salaam na Vwawa Songwe.
Mdude Nyagali alikamatwa na Jeshi la Polisi Novemba...
Ndugu zangu Watanzania,
Mimi huwa sipendi unafiki wala kumfariji mtu wala kuzunguka zunguka.Mimi huwa nasema ukweli hata kama ni Mchungu kwako.
Binafsi nimefarijika sana na Hatua ambazo Jeshi la Polisi limechukua za kuendelea Kumshikilia Mdude Nyagali kwa ajili ya kumhoji tuhuma mbalimbali juu...
Tangu mwanzo wanasiasa hawa walikuwa wakiongea maneno ya hovyo, kwenye mikutano ya TCD, mikutano ya kutoa maoni ya dira ya Taifa, mikutano yoyote yenye mikusanyiko ya watu, walikuwa wakitoa kauli za kibabe sana.
Mfano Boni Yai anawaambia wana chadema msinipigie simu nataka mtu akinipigia simu...
Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi, kutoa lugha ya matusi na kuvuruga ratiba ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
Hayo yameelezwa na...
Ndugu zangu Watanzania,
Ikiwa tutaacha Taifa likajenga utamaduni wa watu wakatumia mitandao ya kijamii kuchafua viongozi wetu,kuwapaka matope, kuwadhalilisha, kuwatukana matusi bila kuchukuliwa hatua wala kukamatwa ili watoe ushahidi tutakuwa tunariharibu Taifa letu.tutakuwa tunaharibu maadili...
Mdude huwa akishapiga misokoto yake, akijiangalia kwenye kioo huwa anajiona amefikia ukubwa wa tembo au ana meno makali kama ya simba.
Nilitarajia nimuone pale Mbeya ofisi ya RPC akilianzisha. Taarifa zilizopo ni kwamba anachati akiwa uvunguni mwa kitanda chake.
Huyu ni simba wa kuchongwa kwa...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawaombeni Watanzania wenzangu na Wazalendo wa Taifa letu kujitokeza hadharani kulaani na kukemea vikali sana kauli Chafu za Mdude Nyagali kwa Rais wetu. Mtu huyu hatupaswi kumkalia kimya pasipo kutoa kauli na kumkemea pamoja na kumuonya vikali sana kuacha mara moja...
Ndugu zangu Watanzania,
Moyo wangu unaumia sana,unasononeka sana ,una uchungu sana ,una vuja machozi ya hasira kuona,kutizama,kusoma Mdude Nyagali akitumia lugha chafu kumdhalilisha Rais wetu.Kwanini jeshi la polisi Mnamuacha na kumtizama Mtu huyu akiendelea kumdhalilisha Rais wetu kiasi hiki...
Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi.
---
Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya:
"Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha...
Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria.
---
Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu...
Ndugu Watanzania,
Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali.
Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World.
Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi.
Ni kuhusu suala la DP World.
===
===
MKUTANO UMEANZA
Askofu Mwamakula anazungumza...
askofu mwamakula
conference
dr slaa
mdude
mdude nyagali
mjadala dp world
mkutano
muhimu
nukuu
nyagali
press conference
slaa
waandishi
waandishi wa habari
Mdude_Nyagali
Kwanza nakupa pole mno kwa mambo yaliyokukuta. Umepitia mateso makubwa sana kwa sababu ya Imani yako ya kisiasa nakwa sababu ya uzungunguzaji wako na hoja zako.
Tangu ulivyotoka jela nimekusikiliza sana, kuanzia Clubhouse na kwingine kote ulipofanya mahojiano. Kwa kweli...
Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie.
Wameshatafuna...
..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa.
..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili.
..Msikilizeni Mdude...