Clip hii inayomuoneesha Mdude Nyagali akiapa kutumia wembe kumnyoa Rais Mama Samia Suluhu Hassan (sijui ni kwa namna gani) inaonesha kiwango cha juu cha ukosefu wa adabu wa mhusika kwa mamlaka za nchi na watu waliomzidi umri.
Kauli ya Mdude kwa Rais si tu ni ya kishenzi isiyopaswa kuvumiliwa...
Tumekuonea huruma sana uliyopitia na hata wengi nje ya nchi wanajua masahaibu yako ila una lugha zenye ukakasi sana sijui unataka kuwaiga kina Khery James au kina Kihongosi?
Ushasikia kina Mwaipaya au Pambalu wa BAVICHA wakitumia lugha yenye ukakasi kama yako? I think haiatakuchukua hata week...
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude...
Mdude Nyagali ambaye ni Mkulima duni wa Jembe la Mkono kutoka Mlowo Mbozi , ameingia kwenye vitabu vya maajabu ya dunia kwa kushitakiwa kwa makosa mazito ya kusafirisha madawa ya Kulevya kutokea Pakistan kuja Tanzania na kuyasambaza bila kuwa na hati ya kusafiria (PASSPORT).
Bado tunaendelea...
Mwamba wa siasa za Tanzania Freeman Mbowe atakuwepo Mahakamani Mbeya kushuhudia hukumu ya Mdude Nyagali , ambaye amepewa kesi ya kusafirisha na kusambaza madawa ya kulevya kutoka Pakistan na kuyaleta Mlowo Mbozi, huku akiwa hajawahi kumiliki HATI YA KUSAFIRIA .
Tayari Jiji la Mbeya lilishaanza...
Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.
Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama...
Hii ndio Taarifa kutoka Mahakama Kuu kanda ya Mbeya iliyosambazwa leo.
Kwamba yule kijana Mkulima wa jembe la mkono wa Mbozi ambaye pia ni mpigania Uhuru Mdude Nyagali aliyepewa kesi ya madawa ya kulevya , atasomewa hukumu ya kesi yake hiyo tarehe 14 mwezi wa 6 , ambazo ni wiki mbili tu kutoka...
Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika.
====
Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
baada
gani
hatia
hatua
jeshi
jeshi la polisi
kesi
lissu
mama samia
mbali
mdude
milioni
mkuu
nyagali
polisi
rais
rais samia
rais samia suluhu
samia
samia suluhu
takukuru
tanzania
tundu
tundu lissu
uhuru
wananchi
Huyu Kijana wa kutokea Mlowo Mbozi, Mkulima duni wa jembe la mkono ambaye kwa maelezo yake mwenyewe bajeti yake kwa mwezi haizidi shilingi Laki 1 za Kitanzania, na ambaye hajawahi kumiliki hati yoyote ya kusafiria. Leo hii anatimiza mwaka mmoja Gerezani kwa Tuhuma za uongo za kuuza madawa ya...
Na John Pambalu
Mara milango ya gereza ikafunguliwa. Askari akasisitiza acheni simu zenu na Muingie watu 4 tu. Tukaambatana na viongozi wawili wa chama wilaya ya Mbeya mjini, mimi pamoja na Kamanda Mwaipaya tukaingia ndani ya lango la Gereza.
Mwenyekiti umekuja?. Ilikuwa sauti ya Mdude...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.