Habari Wanajamvi,
Naona utandawazi unatupeleka kwenye mambo ya "daddy it's my right" au "mama, nataka kuondoka nyumbani."
Kwa sasa, mzazi anapata kesi kwa kumuadhibu mtoto! Leo nawakumbusha aina za vichapo tulivyokuwa navyo:
Kichapo Chenye Maandalizi
Hiki ni kile ambacho mzazi anapanga...