Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu.
Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
Senator Bernie Sanders of Vermont announced that he would exit the presidential race, saying he no longer saw a realistic path to the Democratic nomination.
I cannot in good conscience continue to mount a campaign that cannot win and which would interfere with the important work required of all...
Utasikia.
Namuona Mjane akiwa katika Huzuni kabisa. Hivi 'Logically' tu kuna Mtu ambaye Akifiwa huwa anakuwa katika hali ya Furaha na Kutabasamu?
Hili ndilo Kaburi ambalo Marehemu atazikwa. Hivi 'Logically' tu kuna Marehemu yoyote ambaye akifa / akifariki huwa anazikwa katika Pipa?
Hebu...
Habari wanaJamiiForums,
Siasa nzuri pale mmoja wao akiwahi kusoma akama za nyakati halisi. Na hili nimesisitiza sana huko nyuma Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe kama atasoma nyakati vyema apumzike kugombea uraisi
Else atakutana na aibu kubwa kilichofanyika ni sawa na kusema CHADEMA...
Wapo baadhi ya wanaccm waliokuwa wanajiona ni wanamtandao na wakiamua kuleta taharuki ndani ya chama katika ngazi mbalimbali hasa nyakati za uchaguzi.
Zama hizo zimeshapita kwani CCM ilishaonesha Umma kuwa inaweza kumshughulikia mwanaCCM yoyote iwapo hatozingatia maadili ya Chama.
Wapo baadhi...
Kuna mahala fulani nilihamia Uswahilini na Siku moja nikasikia Kilio kama cha Mtoto Mdogo anamlilia Mama yake na nilipotoka zangu tu nje kwa nia njema ya kwenda Kumuangalia huyo Mtoto nikihisi ametelekezwa na Mama yake nikaishia kukutana na Paka Wawili wakilia hivyo tena kwa Sauti ya pamoja na...
Wadau nini chaweza kuwa chanzo halisi cha kupaa kwa usingizi nyakati za usiku hususani kuanzia mida ya saa saba na kushindwa kabisa kupata usingizi tena.😴😴😴😴
Unatafuta mrembo mzuri humu jf alafu mnatafuta pori huko msituni ambapo hakuna binadamu yeyote zaidi ya wanyama na ndege, mnaji-lock down wenyewe hata kwa mwaka mzima, huku mkila mizizi, matunda, majani na kufurahia uumbaji. Huko hakuna kuvaa mask, hakuna hofu ya maambukizi n.k Naona itakuwa...
Habari wana JF na poleni sana na ugonjwa huu wa corona, hakika tutavuka kwa kudra za Mola.
Kama mada inavyojieleza nimetafakari sana nimejiuliza maswali mengi kwanini tarehe, miaka na nyakati zinatofautiana kutoka jamii moja hadi nyingine. Wachina wana mwaka wao na mwaka mpya wao, waislam wanazo...
Ukizisoma vizuri hizi nyakati utagundua hakuna fursa tena ya Upinzani mamboleo ule unaotegemea " hisani" ya ruzuku ili chama na viongozi wake waweze kuishi.
Unaweza kujiuliza kwanini maalimu Seif alialikwa Ikulu na yeye siyo kiongozi wa ACT wazalendo?
Halafu iangalie vizuri historia ya Prof...
Tumeiona taarifa ya Secretary of State wa USA, Mike Pompeo akithibitisha kuwa Paul Christian Makonda amekuwa blacklisted kuingia USA. Anyway unaweza ukapuuza kuwa mbona haendagi mara kwa mara na akiwa na shida atakwenda Ulaya au China.
Nina ushauri kwa RPC wa Kanda Maalum Lazaro Mambosasa. Kwa...
Hali (situations) zinaniambia nimekwishafeli, naona km situations zinanipa both public and private insults.
Real insults and I have no power to argue. Nimebaki nainamisha kichwa chini tu na kusikilizia jinsi hali inavyouma.
Mambo yanakwama mbele ya uso wangu, mbele ya macho yangu naona...
1. Mwl. Julius Kambarage Nyerere
Ukitazama akili, ushawishi na maarifa aliyokuwa nayo ingepaswa azaliwe kipindi ambacho nchi inao wasomi wa kutosha kumpa changamoto. Waliokuwepo wachache kama akina Hayati Kambona lakini kwa nchi kutokuwa na wasomi akina Hayati Kambona waliishia kuonwa wasaliti...
Kuna usemi kwamba "hakuna umoja wa wenye njaa". Usemi huu unamaanisha kwamba mtu mwenye chakula akipita karibu na watu ambao wako pamoja lkn wana njaa watasambaratika kwa kasi ya kimbunga.
CHADEMA ni umoja wa watu wa wenye njaa, maana hakuna nafasi za uteuzi/vyeo.
Wakati ambapo CCM kuna nafasi...
Huu ubishi wa uhalali wa kustaafu kwa CAG Assad ungeweza kumalizwa kwa hoja za kisomi kabisa kutoka kwa nguli hawa wawili wa sheria nchini Tundu Antipas Lisu na Mtemi Andrew Chenge.
Hawa wanasheria wengine waliobaki si wabobezi na wengine wanaishi kwa kukariri vifungu badala ya kujenga hoja...
Habari wakuu ! Natumaini wote ni wazima wa afya , kwa upande wangu niko poa . Sasa twende moja kwa moja kwenye mada yetu .
g
Tenses huelezea wakati au muda tendo linafanyika , lilifanyika au litafanyika .
Katika kiingereza kuna tenses ( nyakati ) kuu tatu , ambazo ni :
The present tense (...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.