Habari wadau
Maeneo ya Igunga, nzega, tabora, tinde, shinyanga, mizungwi, geita, chato, masumbwe, Isaka,kahama, ushirombo n.k
Ikiwa hujawahi tembea maeneo hayo usiku ni vigumu sana kuelewa hatari ya trekta mbovu, tela za punda na ng'ombe zinazotumika usiku kucha!
Maeneo hayo kuna treka za...
Huhitaji kusoma biblia wala kusoma msaafu kuelewa Usaliti wa Wanadamu,tunasoma kuelewa zaidi neno la Mungu lakini kwa Usaliti tayari tumeonyeshwa kwa vitendo,Viongozi wakuu wa na washauri wakuu wamekuwa wasaliti wakuu kwa maslahi yao na vizazi vyao,Kwa Siasa za Tanzania Ukitaja Neno Magufuli...
Wadau ukipita sehemu nyingi Dar es salaam yani kwenye mitaa na makazi ya watu unakuta madirisha mengi ambapo nyavu au wavu ukiwa umechanwa ukionesha kuwa kuna wizi ulishawahi tokea
Wezi hao hutumia usiku wa manane kuwa ni nyakati ambazo wananchi wengi wamekuwa wamelala, hutumia dawa kama spray...
Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink.
Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
Vijana tunaozaliwa wakwanza Huwa na Kama baba ukimwacha baba halisi.
Nikaamua kwenda kuzisaka pesa kwa ajili ya kuwatunza wazee wangu na Mimi binafsi.
Hapo ndipo nilipoona hela Ni ngumu mno kuishika. Nimefanya kazi ngumu ngumu za kuchosha sana mwili Ila ujira huna cha kuhifadhi ugonjwa...
Moja ya sababu kubwa inayochangia foleni majira ya asubuhi na jioni kwenye barabara nyingi za Dar es salaam ni ufinyu wa VITUO VYA DALADALA.
Kusema kweli VITUO VYA DALADALA jijini Dar es salaam ni vifinyu sana kiasi kwamba havitoshelezi DALADALA angalau 5 kuegesha kwa pamoja ili kushusha...
Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo.
1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
Sungusia hana Uwezo wa kuongoza nyakati Ngumu! Huyakimbia matatizo!
Historia ya Wakili Harold Sungusia inamuweka upande wa watu ambao hawana uwezo wa kukabiliana na changamoto ngumu pindi zinapojitokeza na badala yake inamuweka kwenye kundi la watu ambao huzikimbia changamoto hizo bila...
Rais Samia amewambia wamarekani kuwa ilikuwa ni vigumu kwake kufanya kazi na Magufuli.
Na alikuwa ana tofautiana nae sana kwenye mambo mengi hasa jinsi alivyokuwa ana kabiliana na swala la UVIKO-19.
Ebwana eeeh namkumbuka Koku alikuwa receptionist giraffe hotel na peacock Hotel, bonge la pisi halafu mtamu safari zangu za mbele nimepotezana nae, 2008-2010, DSM nikiwa mkazi wa kijitonyama, Mfugale junior tulikuwa ligi moja ila sio mbaya, koku uko wapi?koku kama koku
Tuwatafute
Asalaam wana JF!
Binafsi huwa napata wakati mgumu kwenye vikao maeneo mbali mbali hasa kwa tahadhari ya kupunguza negative people. Huwa natafakari faida na hasara za kuchangia ama kutochangia maoni kuhusu jambo husika.
Natulia kimya nafuatilia kwa umakini nachukua notes ila natumia code za...
MWAKA MMOJA BILA JPM;FALSAFA YA UTIMILIFU WA NYAKATI.
Leo 23:15pm 13/03/2022
Hayati Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa ujumbe wa shukrani kwa viongozi wa dini na watanzania wote kwa kuitika wito wa kumuomba Mungu ili aliepushe taifa na janga la ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na...
IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi.
Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU.
Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
afukuzwe
ajiuzulu
astaafu
busara
igp
igp sirro
kazi
kuendelea
kujiuzulu
kuwepo
nyakati
ofisini
raia
rais
rais samia
samia
sirro
taifa
taifa letu
usalama
usalama wa raia
Habari!
Najua kuwa nitapingwa na baadhi yenu ila sijali. Ujumbe utakuwa umefika.
Shetani amekoleza tamaa za kingono kwenye miili ya vijana mara dufu, kama haitoshi shetani amekoleza tamaa za macho kwa mabinti.
Leo hii binti ambaye anaishi kwa wazazi wake anatamani Iphone macho 3.
Imefika...
Mcha Mungu Magufuli alipokuwa hai hakukuwa na uhaba wa mvua na ukame nchini Kama sasa
Kuondoka tu mcha Mungu Magufuli nchi ukosefu wa mvua kila Kona, ni ukame nchi nzima na tishio la njaa kila kona ya nchi hali ya hewa vipimo vyao vinaona ukame, ukosefu wa mvua na njaa tu inayokuja.
Mwenyewe...
Naanza ku-declare interest Mimi ni Mwana Chama wa Chama Cha Mapinduzi kabisa ambaye sikupendezwa na jinsi Chama changu kilivyokuwa kikiyashughulikia Masuala mbali mbali Kwa Miaka kadhaa iliyopita na Mifano ipo.
Nikajikuta hasa kuna baadhi ya Mitizamo tunaendana kabisa na wenye sera mbadala...
WAAFRIKA wamezaliwa na roho ya ajabu sana, wamezaliwa na roho yakuumizwa na mafanikio yako Hadi kufikia mahali kutumia fedha au madaraka kukukandamiza.
Kitendo cha viongozi wa dini kusimama na kutamka adharani kwamba Mbowe yupo mahabusu kinyume Cha sheria kwa kesi za kubumba kinawaumiza Sana...
Ndio, ni lazima uwe mbumbumbu asiyeweza kupata taarifa ya mambo yanavyoenda hapa nchini hasa upande wa siasa, na hata ukizipata basi usiwe na uwezo wa kuchenjua mbivu na mbichi.
Uzalendo ni kama imani, ili uwe na imani thabiti pale mbele kwenye usukani lazima akae undisputed role model...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.