Kupitia ukurasa wake wa Twitter bwana Zitto Kabwe amemuasa Waziri wa Mambo ya ndani bwana Simbachawene aache kuzuia social media kama space na Ch's badala yake yeye mwenyewe azitumie vizuri zitamsaidia kufikia watu
Hivi ni kwanini ndoa nyingi siku hizi zinavunjika? Yaani unakuta watu wameoana haipiti hata miaka miwili unasikia wameachana.
Mfano ni ndoa ya wasanii wetu wa Tanzania , kama Ndoa ya Ali Salehe Kiba maarufu kama “ALIKIBA” na mke wake kutoka Kenya , na ndoa ya Judith Wambura maarufu kama...
Ukweli ni kwamba, ni jambo kubwa sana kutambua NYAKATI, ni muhimu kujua muda gani ufanye Nini? Uwe wapi? na hatima au matokeo ni Nini?
Habari yako Mpenzi msomaji. Leo napenda kukuepusha na hatari ya kutotambua nyakati katika MAHUSIANO YA KIMAPENZI. Watu wengi wanapoteza muda kubaki na wenza...
Na ndiyo Hospitali hiyo hiyo za chini ya Kapeti nimezinyaka kuwa Bi Mkubwa Kikatiba Kesho anaenda Kuzindua Jengo lililojengwa na Wajerumani na ikiwezekana hata Sindano yake ya UVIKO 19 anaweza 'akachomewa' hapo hapo japo Askofu Gwajima Yeye kaigomea.
Mungu atusaidie sana na hii UVIKO 19.
Salaam WanaJF!
Binafsi ni msomaji sana wa Vitabu. Kupitia vitabu nimejifunza mengi, nimesafiri kwenda kwingi na nimekutana na wengi. Katika Usomaji wa vitabu, kila mtu anavyo vitabu ambavyo kwake ni bora zaidi na kwa sababu zake. Kupitia uzi huu naomba tushirikishane vitabu bora kabisa kwako...
Natumaini mko shwari
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.. kwa pamoja mjibu CHAMA KIENDELEE.
Leo sitaki kuongelea katiba wala mambo ya siasa. Hapa leo ni mambo ya mapenzi tu. Nataka nitoe maoni yangu ambayo moja kwa moja ndo yatakuwa msimamo wa JF bila kujali itikadi. Nitaongelea...
Wakati wa Awamu ya Nne tulishuhudia masuala ya ajabu sana maana vyombo vya habari vilikuwa vikipotosha umma. Kila alilolifanya mfalme wakati huo lilionekana jema.
Kuna wakati wananchi waliaminishwa kuwa mfalme amelithishwa viatu vya mwalimu Nyerere. Kilichofuata baada ya miaka miwili ni...
Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu.
Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
Wengi tunasikia nakuona mengi katika giza na nuru lakini ni nani ajuaye nyakati Taifa linapita. Wengi hatujuwi ila wakati ni darasa. Huenda kukawa na nyakati ngumu katika Utawala wa sasa na hii nikutokana na kiti kutamani kukaa kwenye kiti
Sasa hili limezuwa sintofahamu hasa ikizingatiwa...
UKIBADILI NAMNA UNAVYO TAZAMA VITU NA VITU UNAVYOTAZAMA HUBADILIKA
Kinachotokea sio tatizo ila tafsiri unayoweka juu yake ndio inaweza kuuwa tatizo
Kikwazo chochote kinachotokea huwa kinakuja kuboresha sehemu ya maisha yetu
Usitazame vikwazo kwa ubaya wake tazama vikwazo kwa mazuri yake...
La muhimu ni kwa Rais Samia kwa hii miaka minne, au mitatu, aipatie Tanzania katiba mpya. Asijikweze sana kutaka kugombea hapo 2025, hilo si lake. Awaachie wenyewe.
Zaidi ajikite kwenye kuwekeza utawala wa sheria, Katiba mpya na tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, mambo matatu hayo yatamuweka...
PICHA ADIMU ZA TANU, JULIUS NYERERE NA WAZALENDO WALIOSAHAULIKA KATIKA HISTORIA YA KUDAI UHURU WA TANGANYIKA 1954 - 1961
Mohamed Said Historia, Siasa na Maendeleo Tanzania May 02, 2015 1
Abdulrahman Ali Msham Akiwa Amesimama Lilipokuwa Tawi la TANU Alilofungua
Marehemu Baba Yake Ali Msham...
Hatimaye Spika Ndugai Uvumilivu umemshinda na kaamua Kuwaonya Wabunge wanaopenda Kupanda 'Bodaboda' na 'Bajaji' wakati wana Magari yao tena ya 'Kifahari' kabisa kuwa yakiwakuta ya kuwakuta Wasilaumu.
Chanzo: Daily News Ukurasa wa Pili
Na nyie Wabunge ifike muda mjitathmini hivi Magari yenu...
Mwenyezi Mungu akurehemu katika Safari yako JPM, sisi ni wake na hakika kwake ni marejeo. Umetangulia hatujui inayo fuata ni zamu ya nani kati yangu Mimi na wewe unaye soma mada hii,ila inshallah Allah atufanyie wepesi katika Safari yetu tuondokane na ujasiri na kibri usio na tija kwa jamii...
Habari na poleni sana kwa msiba.
Niseme tu kwamba wengi wanaweza kusema mengi kuhusu Msiba huu ila mimi naweza kusema Jambo Moja. Maisha ni zawadi, tuyaenzi. ujifunze kutoka katika maisha ya Magufuli; Maisha ambayo yaliacha alama.
Mwaka 2010 mara baada ya uchaguzi mama yangu mzazi aliniuliza...
Tumeona miaka yote wananchi wa kawaida wakitumika kama ngazi wakati wa kampeni za uchaguzi, wamekuwa wakivishwa fulana au vitambaa vya kichwani huku wengine wakisimika bendera za vyama vyao mbele ya nyumba zao.
Sasa swali ni hili, baada ya chaguzi hizo kufanyika watu hawa hukumbukwa?
TAARIFA MPYA: Mhusika Mkuu wa uharibifu uliotokea kwenye studio za prodyuza @S2kizzy ameshakamatwa na wenzake 17 wanatafutwa. Aidha, wafanyakazi wa studio hiyo waliokuwa wameshikiliwa na polisi wameachiwa. Tunaendelea kuhakikisha haki inatendeka.
msemajimkuuwaserikali
Nadhani kama kuna tukio...
Trend inaonyesha licha ya kuwepo maagizo ya kidini kusambaza imani zao. Bado wanasiasa wa ulaya watafuta Mali wakiarabu waliwatangulia wana dini kusambaa duniani. Yaani walianza wapererezi wamisionary nao wakafuata. Wengi walijikuta wanasambaza dini kisiasa.
Wanasiasa walipoanza kuhimiza Elimu...
Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya.
Ndugu yetu Membe kaingia siasa kwa mdundiko wa wengi.
Wapiga mdundiko walipotuliza ngoma sasa ndo tunaona mambo dhahiri...
Ukweli lazima usemwe na utasimama.
Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino.
Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.