nyama ya swala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania Nahamu sana ya kula mishkaki ya swala, nitapata wapi duka la Nyamapori

    Kuingia mwezi huu mtukufu wa Ramadan nahitaji sana kupata nyama ya swala, nyati, pofu pia nahitaji kupata mayai ya mbuni na firigisi zake. Ili kufanikiaha upatikanaji huo nahitaji anayejua mahali nyama hizo zinapouzwa anijulishe hapa nifatilie vitoweo.
Back
Top Bottom