Kuingia mwezi huu mtukufu wa Ramadan nahitaji sana kupata nyama ya swala, nyati, pofu pia nahitaji kupata mayai ya mbuni na firigisi zake.
Ili kufanikiaha upatikanaji huo nahitaji anayejua mahali nyama hizo zinapouzwa anijulishe hapa nifatilie vitoweo.