Minara 42 ya Mawasiliano kati ya Minara 107 inayojengwa kanda ya nyanda za juu Kusini na Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote imekamilika
Akizunģumza kupitia kipindi cha #Checkpoint, Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) nyanda za juu kusini Mhandisi Richard Sotery amesema ujenzi wa minara...
Wakuu
Previous hakukua na dalili za mtu kutoka direct from lake zone to nyanda za juu kusini.
But kutokana na utashi na exposure ya watu wa maeneo husika sasa hivi usafiri wa hizo pande mbili upo muda wote.
Mfano jana nimetoka Mwanza saa saa 10 jioni ila leo saa 7 au 8 hivi nimefika Mbeya na...
Rais Samia ameendelea kuingia kwenye nyoyo za Watanzania hususani Wana Iringa baada ya kutoa Fedha za kuanza Ujenzi wa Barabara ya Iringa-National Park ambayo ilikuwa ni Kilio kikubwa Cha wana Iringa.
Ameyasema hayo Leo hii baada ya kushuhudia utiaji Saini wa mkataba wa kuanza ujenzi wa...
Hii ni kutokana na jiografia na maandiko ya waasisi na viongozi waliokuwa nyanda za juu kUsini mfano MBUNGE wa eneo husika ndugu JM Makweta aliweza KUANDIKWA KATIKA vitabu vyake mbalimbali mfano creation of greater makambako ,Karibu njombe nyanda za juu kUsini nk hata kilomita zinaonyesha...
Maonyesho ya Biashara na Utalii Nyanda za Juu Kusini
📍 Matema beach, Kyela, Mbeya, Tanzania 🇹🇿
Kusini International Trade Fair & Festival 2024
Ni maonyesho ya kimataifa yaliyoundwa ili kukuza shughuli za biashara na nyingine zinazohusiana na uwekezaji, kilimo na umwagiliaji, afya, utamaduni...
Naomba Serikali isikie kilio chetu sisi wakulima wa zao la Mahindi Nchini hasa nyanda za juu kusini mikoa ya Rukwa, Njombe, Ruvuma.
Bei ya mahindi bado ni ya chini mtaani (350-420)ukiacha bei ambayo Serikali wananunua (700) kwa kilo.
Hoja ni kwamba serikali inanunua Tsh. 700 kilo lakini...
Anonymous
Thread
kilio
kusini
mahindi
nyandazajuunyandazajuukusini
serikali
wakulima
zao
zao la mahindi
Nimejaribu kujiuliza ni kwanini mautajiri ya watu wa nyanda za juu kusini si utajiri unao sisimua au kuvutia watu wengi tofauti na ule utajiri wa watu kama bakhresa, mengi, ndesamburo, nadhani kinachochefua watu ni ile dhana ya mautajiri ya kichawi na siyo utajiri wa kisomi!
CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23.
Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika.
Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake...
Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi.
Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha...
Imetimia idadi ya mikoa 19 Tanzania bara na mkoa mmoja Tanzania visiwani na wilaya zaidi ya 25 nilizotembelea hadi sasa. Wasalaam ndugu zangu.
Mwezi wa saba mwaka huu 2023 nilibahatika kutembelea mkoa wa Iringa. Ilikuwa ni safari kutembelea mikoa mitano tofauti ndani ya kanda mbili tofauti...
Wafanyabiashara na wamikili wa maduka ya nyama mikoa ya nyanda za juu kusini, wametakiwa kuzingatia maagizo ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) kutumia vifaa maalum vya kukata nyama na kuachana na matumizi magogo ya miti ili kulinda afya za walaji.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Juni...
Jeshi la Polisi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Njombe, Mbeya na Iringa, kwa kipindi cha kuanzia Machi 12, 2023 hadi Machi 23, 2023 limefanikiwa kukamata watuhumiwa 87 wa matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwemo, unyanganyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, kuvunja ofisi usiku...
Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa.
Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa.
Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za...
Rais Samia akiwa Iringa
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi.
Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela.
Marais...
Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.