nyanda za juu kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Huihui2

    Ujumbe kwa Rais Samia: Tembelea Nyanda za Juu Kusini, Utakuja Kunishukuru

    T
  2. The Sunk Cost Fallacy

    Awamu ya Sita inaendeleza tabia ya kuitenga mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini

    Salamu kwenu. Naona viongozi wa awamu ya 6 wanaendelea na tabia ya kuitenga mikoa ya Kusini kwenye maeneo mengi tu. Chief Hangaya yeye amejikita Dodoma, Kanda ya Ziwa, Dar, Kanda ya Kaskazini na Zanzibar. Mwisho wa mwaka Rais alikuwa awe mgeni Rasmi Siku ya Ukimwi Duniani na hakuja, hakuna...
  3. Ileje

    Makamba usipotoshe Nyanda za Juu Kusini hakuna ukame

    Jana katika ziara ya Makamba alipotembelea mabwawa ya kuzalisha umeme alitoa taarifa akitaka kuaminisha umma kuwa tatizo la upungufu wa umeme nchini na kwa sababu ya ukame! Hii si kweli hata kidogo. Kwa macho yake mwenyewe ameona bwawa la Mtera lina maji ya kutosha, na kwa kuthibitisha hilo...
  4. Lord denning

    Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  5. masopakyindi

    Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

    Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo. Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula. Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali. Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
  6. L

    Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

    Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka 2.3M mpaka 2.9M. Kiwango kitawafanya Wafanya Biashara kununua kwa bei ya chini kutoka kwa Wakulima ili...
Back
Top Bottom