Mimi ni mzazi wa mwanafunzi anayesoma katika shule yenu. Ninaomba kuwasilisha hoja yangu kuhusu malipo ya Shilingi 90,000 yaliyotakiwa kwa ajili ya masomo ya ziada kipindi hiki cha likizo.
Kwanza, tulielezwa kuwa fedha hizo zilikuwa kwa ajili ya masomo ya ziada ya kipindi chote cha likizo. Hata...