TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako"
Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
Mohamed Musa Mohamed aliyetajwa kuwa Mhalifu sugu wa kughushi nyaraka za Serikali na zisizo za Serikali kwa nia ya kujipatia fedha kwa udanganyifu amekamatwa
Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam imesema Mohammed anayefahamika zaidi kama Kibosile amekutwa na Hati za Kusafiria zaidi ya 130, nyaraka...
Baada ya hukumu ya mahakama kubatilisha wosia ulioachwa na Reginald Mengi, mjane wake, Jackline amesikitishwa na hali hiyo ikiwemo sababu zilizopelekea mahakama kutokubali wosia huo.
Jackline ameshangazwa na uwezo wa kuandika na kuzindua kitabu kwa mume wake ingali alikuwa na shida ya kiakili...
Hii ndio habari mpya inayosambaa Wilayani Hai kwa sasa baada ya Taarifa ya kufutwa kazi kwa aliyekuwa DC wa hapo bwana mdogo bilionea mpya Sabaya (miaka 34) , ambaye anachunguzwa kwa makosa mbali mbali ikiwemo uvamizi , uporaji wa pesa na wizi wa kuaminiwa ikiwa ni pamoja na ulevi wa madaraka...
Leo tarehe 07/05/2021 Mahakama ya wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe imemhukumu ndugu SEMENI GWEWA MSWIMA (Mganga Mfawidhi wa Zahanati ya Mlowo) Kifungo cha miaka 200 au kulipa faini ya Tshs.52,000,000/= pamoja na kurejesha kiasi cha Tshs.30,850,000/= alichoiibia Halmashauri wilaya ya Mbozi.
Kesi...
USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Polisi wanapokufanyia upekuzi, iwe wewe mwenyewe binafsi, nyumbani kwako, kazini kwako, gari lako au penginepo ipo fomu maalum ambayo wao wenyewe huijaza na kumtaka mtu aliyefanyiwa upekuzi naye...
Utumishi wa Umma unaongozwa na Sheria ya Utumishi wa Umma Na.8 ya 2002, Kanuni za Utumishi wa Umma za Mwaka 2003, Sera ya Menejimenti ya ajira katika Utumishi wa Umma ya Mwaka 1999 pamoja na Kanuni za Kudumu za Utumishi wa Umma za Mwaka 2009.
Nyaraka hizi muhimu zinaweka umbile la utumishi wa...
Profesa Assad amefichua kuwa aliomba nyaraka za ununuzi wa ndege, reli ya SGR pamoja na Bandari ya Bagamoyo kwa kutumia technical reason lakini mkuu wa nchi wa wakati huo alikataa kuzitoa akawa anamtafutia sababu ya kumtoa ofisini.
Prof Assad amesisitiza kuna muda watu wanavunja katiba waziwazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.