USIKUBALI KUSAINI NYARAKA HII UNAPOPEKULIWA NA POLISI
Na Bashir Yakub. WAKILI
+255 714 047 241
Polisi wanapokufanyia upekuzi, iwe wewe mwenyewe binafsi, nyumbani kwako, kazini kwako, gari lako au penginepo ipo fomu maalum ambayo wao wenyewe huijaza na kumtaka mtu aliyefanyiwa upekuzi naye...