Ushauri wangu kwa viongozi wa serikali na mamlaka ya serikali walione hili.
Mimi najiuliza kwanini sherehe za kilele cha Mbio za Mwenge wa uhuru zifungamanishwe na siku ya kumbukumbu ya Baba wa Taifa tar 14 Oktoba? Mimi nashauri hizi siku zitenganishwe sababu sherehe ya mwenge...
NYERERE DAY: MWALIMU NYERERE NA DOSSA AZIZ WALIPOKUBALIANA KUJENGA CHUO KIKUU WAKIWA WAMEEGESHA GARI MLIMANI
Viongozi wa TANU walikuwa na kawaida wakimaliza mkutano wa hadhara Mnazi Mmoja watakatiza barabara kwa miguu kuja Princess Hotel wakafanya tathmini ya mkutano, kula chakula na kunywa...
Nyerere Day
STBONGO TV STARTIMES NYERERE DAY 2022
KEVIN LAMECK NA MOHAMED SAID
Kipindi kitarushwa saa tatu kamili asubuhi leo na marudio ni saa nne kamili usiku.
BONGO TV NA NYERERE DAY
Kevin Lameck wa Bongo TV leo asubuhi alinitembelea nyumbani kwa nia ya kufanya kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya Nyerere Day kesho.
Bwana Kevin kanirushia maswali mazito moja akitaka kujua kama historia ya Mwalimu imekamilka...
Habari za mida Watanzania wenzangu,
Kumbe mwaka 1961 Tanzania nzima barabara za mkoani zilizokua katika kiwango cha lami zilikua ni tatu (3) tu! Nazo ni Dar es salaam hadi Morogoro, Korogwe hadi Tanga mjini na Moshi hadi Arusha.😳
CCM hoyeeee!😂😂
Mungu hoyeeee!
Source: Tanzania, Miaka 10 baada...
MOHAMED SAID: HAMZA KASSONGO ON SUNDAY NYERERE DAY 2
Namzungumza Mama Maria Nyerere na juhudi zake za kusaidia familia yake kujikimu baada ya Mwalimu Nyerere kuacha kazi na kuwa mtumishi wa TANU.
MATAYARISHO YA NYERERE DAY NA HAMZA KASSONGO ON SUNDAY
Hamza Kassongo amenihoji historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na jinsi alivyoishi na marafiki zake aliojuananao siku za mwanzo alipofika Dar es Salaaam mwaka wa 1952.
Nilimweleza Hamza Kassongo historia ya Mwalimu...
Mambo mengine yanakera!! Mwenge unaweza kuzimwa siku yoyote!! Kwa nini ipangwe kuzima mwenge siku ya kumbukizi maalumu ya baba wa Taifa?? Kwa nini zipangwe shughuli zingine za kiserikali katika siku ambayo ni Public holiday iliyotengwa kama siku ya kumbukizi ya baba wa Taifa? Dhambi hii ni...
Huwa nakaa chini nafikiria sana juu ya Hatima yaani mwisho wa kumkumbuka au kumbukumbu ya Nyerere.
Leo inatimia miaka 22 bila Mwalimu tangu alipo tutoka tarehe na mwezi kama wa leo mnamo Mwaka 1999.
Maswali yangu juu ya Hatima hii leo imetimia miaka 22 pasipo kuwa na Nyerere.
Je, Mwaka gani...
NYERERE DAY: TUWAKUMBUKE MASHUJAA HAWA WAWILI KWA PAMOJA ABDULWAHID KLEIST SYKES NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Leo tarehe 13 Oktoba ndiyo siku aliyozikwa Abdul Sykes siku ya Jumapili mwaka wa 1968.
Fumba macho yako na lete picha ya Mtaa wa Lindi, Gerezani mwaka wa 1968 umma mkubwa umefurika...
NYERERE DAY: TUMKUMBUKE BI. TITI MOHAMED NA JUHUDI ZA KUMTOA JOMO KENYATTA KIFUNGONI KAPENGURIA
Msukumo mkubwa wakati nchini Kenya ilikuwa kufanya kampeni ya nchi nzima kuwashinikiza Waingereza wamwachie huru Kenyatta aliyekuwa akichukuliwa na wananchi wote kama kiongozi na nguvu ya umoja wa...
NYERERE DAY KUTOKA UKUMBI WA ARNAUTOGLO 1953 HADI UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE 1985
Julius Kambarage Nyerere aliunyanyua mguu wake kuanza safari ya uongozi wa Tanganyika tarehe 17 April 1953 katika uchaguzi wa kugombea urais TAA.
Julius Nyerere sasa akijulikana kama Baba wa Taifa aliliaga taifa...
NYERERE DAY BABA KABWELA UNO 1955
Mwisho wa kipindi cha Aridhio TBC 1 kuanzia leo hadi Nyerere Day yenyewe wataweka kipindi kifupi kutoka mahojiano niliyofanya na Mtangazaji Safina Yasin.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.