BONGO TV NA NYERERE DAY
Kevin Lameck wa Bongo TV leo asubuhi alinitembelea nyumbani kwa nia ya kufanya kipindi cha Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwa ajili ya Nyerere Day kesho.
Bwana Kevin kanirushia maswali mazito moja akitaka kujua kama historia ya Mwalimu imekamilka...