Kwa ujumla sisikii hata ile minog'ono kuwa kuwa serikali ya CCM chini ya mama Samia haitekelezi inavyotakiwa ilani ya CCM.
Kazi inaendelea kupigwa kwa nguvu.
Miundombinu inaimarishwa na bila ajizi kila kona ya Tanzania miradi ya kuimaridha miundo mbinu inaendelea.
Sekta ya elimu ndio iko...
✍🏾Kwa jina Naitwa CECE motors. Najishughulisha na Uagizaji wa Magari mapya aina zote na nchi tofauti tofauti kama Japan,UK,Dubai, Singapore, e.t.c
👉🏼Pia Nafanya Clearing and Forward Agent Kwa Mizigo yoyote uliyoagiza/Utakayoagiza kama vile Magari,Makontena, E.t.c
👉🏼 Bila kusahau tunatoa Mikopo...
Na John Walter-Manyara
Mkurugenzi wa Kampuni ya Mati Super Brand Ltd David Mulokozi ametoa msaada wa Fimbo nyeupe 500 kwa watu wasioona ikiwa ni kuunga mkono juhudi za Serikali inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan katika kusaidia makundi yenye mahitaji maalum.
Akikabidhi fimbo hizo kwa...
Duh...kweli adui yako mwombee njaaa!
Hivi kweli 'SuperPower' wetu kafikia hatua ya kulialia njaa?! Hadi Ikulu 'kubwa' kuitisha kongamano rasmi la kujadili namna ya kupigana vita na adui mpya 'njaa' anayesumbua taifa teule!
Kweli maajabu hayaishi dunia hii.
Asante sana Urusi kumvua nguo Super...
Wakati wa shamrashamra za kubeba ubingwa, kocha wa Yanga, Nasredine Nabi alionekana akipiga picha huku akishikilia bendera ya nchi yake yenye rangi nyekundu na nyeupe.
Rangi hizo zilikwishapigwa marufuku kuonekana katika hadhira ya Yanga, na msimamo huo umeshatolewa mara kadhaa na uongozi wa...
Wataalamu wetu wengi wa hizi website na blogs rangi za screen zao ni black and white.
Labda niulize kama ni sheria au lazima kutumia hii rangi ya black and white.Maana kila site unayoiona ni black and white. Kama ni sheria basi tuwekewe kifungu tuone.
Pili rangi hiyo ni majanga sana macho...
Kulingana na maneno ya mwenyezi Mungu mtu Akifa na akazikwa siku ya ijumaa hatapata adhabu ya Kaburi so kuna Raha yake mtu kuzikwa siku hiyo kulingana na Imani inavyosema
Haya ndio maono ya 2025
Baada ya watu kuchapatana na kuumizana sana na kila mmoja akiwa amechoka kwa mtifuwano wa 2025.
Haya ndio yatatokea.
Pataitishwa baraza la siri la wazee na makachero wabobezi wenye siri za Taifa hili ndani yakikao hicho yatasemwa mengi mepesi na mazito baada ya hapo...
Mwanasoshalaiti na mjasiriamali Zari Hassan amewakemea watu ambao wamekuwa wakimkosoa baada ya video inayoonyesha chupi aliyovalia kusambaa mitandoni.
Kwenye video hiyo ambayo ilirekodiwa wakati wa sherehe za kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa, Zari anaonekana akiwa anasakata densi huku akiwa...
Hapa mahali ninapofanyia kazi kwenye kampuni kuna ujenzi mkubwa unaendelea wanasimika mitungi mikubwa ile ya ardhini.
Sasa kampuni inayofanya kazi hiyo ni ya wahindi aisee nimeona kwa macho yangu kabla kazi haijaanza wameenda katikati ya uwanja wakapasua nazi yaani bila hata kificho...
Kuna mkaka anatokea misri nilikua kwenye mahusano nae tulidumu miaka 3 halafu tukaachana. Tulivoachana atukuachana vizur lkn baadae tukayamaliza tukawa tunawasiliana km marafiki wa kawaida mpk sasa. Mara ya mwisho kuonana nae ilikua 2019 mwshoni. Tumeachana lakin kla mwaka ananitumia zawadi siku...
Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito?
Mwenye majibu anisaidie hapo.
Hamjambo wajukuu,
Mambo ni mengi muda hautoshi basi alfu lela ulela kibao...
Sikuwa na mpango wa kutoka leo, maana jua kali halafu usingizi ulikuwa bado umeshika hatamu.
(Usijiulize maswali mengi, niko naiti shifti sikuhizi). Waja si watu wazuri wanataka niache kazi ili nidange, waaapiii...
Ni matumaini yangu makubwa Krav Maga hivi ninavyopishana na Kanzu nyingi nyeupe Mitaani leo basi hata Wahusika nae kwa Miezi 11 ijayo nao Roho zao zitakuwa Nyeupe hivyo hivyo.
Ushauri wa bure wengine ambao huwa hampendi Kuvaa Kanzu au hamjazoea Kuzivaa basi muanze Kuchukua Mazoezi taratibu ya...
Nyumba tunazoishi za kupanga, nyumba moja familia tano. Mke wa mtu unavaa suruali unapoinama kuosha vyombo au kufua chupi jeupe linaonekana kiunoni limekatika na kuonyesha shepu lote la makalio huu ni ustaarabu?
Mbaya zaidi unawalenga vijana ambao hawana wake au wale ambao wake zao wako mbali...
UKIWEZA TOFAUTISHA HAYA BASI UMEKOMAA NA UTAKUWA UMEFANIKIWA
Kwa Mkono wa, Robert Heriel
1. UHAI Vs Uzima
Uhai independent Variable
Uzima ni dependent Variable
Unaweza ukawa hai lakini usiwe Mzima
Lakini huwezi kuwa Mzima bila uhai.
Uhai unahusu kuishi kwa ujumla, uzima ni mahususi kwa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.