nyimbo za msiba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wakuu, hivi kuna msanii wa kumpiku Marehemu Komba kwenye nyimbo za maombolezo?

    Wakuu, Kwenye haya maisha kwa kweli hamna kitu muhimu kama kujichagulia angle yako. Leo nilikutana na wimbo mmoja wa msiba wa Marehemu Komba. Kiukweli huyu jamaa alikuwa ni genius. Kuna ule wimbo mmoja alimuimbia Mwalimu Nyerere unaitwa Kwaheri Mwalimu Nyerere. Ule wimbo hata kama ulikuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…