McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,170
- 3,743
Wakuu,
Kwenye haya maisha kwa kweli hamna kitu muhimu kama kujichagulia angle yako.
Leo nilikutana na wimbo mmoja wa msiba wa Marehemu Komba. Kiukweli huyu jamaa alikuwa ni genius.
Kuna ule wimbo mmoja alimuimbia Mwalimu Nyerere unaitwa Kwaheri Mwalimu Nyerere. Ule wimbo hata kama ulikuwa humpendi Mwalimu Nyerere lakini in a way lazima ukuguse.
Kwa sasa hivi nimesikia huko Daslam kuna wasanii wengine ambao wanaimba nyimbo za misiba
Ni msanii mgani mwingine anaweza kumpiku Marehemu Komba kwenye nyimbo za Misiba