Awali, nyongeza za mishahara kwa watumishi wote zilikuwa zikitolewa mwezi Julai kila mwaka. Hata hivyo, baadaye Serikali ilianzisha mfumo mpya ambapo nyongeza hizo hutolewa kulingana na mwezi ambao mtumishi alianza kazi.
Pamoja na utaratibu huo, kumekuwa na changamoto ambapo baadhi ya watumishi...
Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi kwasababu mbalimbali ambazo ametaka kuwa TUCTA hawakuja na madai mapya bali...
Nimeona kule Citizen tv Wafanyakazi wa Kenya wakimpongeza Rais Samia kwa kuwajali Wafanyakazi na kuwaongezea mshahara kwa 35%
Wamedai kuwa wao waliomba nyongeza ya 6% tu lakini imeshindikana
Rais Samia apewe maua yake
Binafsi Nakumbuka 1977 tukiwa Watumishi wa Ridoch Motors ndio ltulipata...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi ambaye Ameletwa na Mungu kuleta Furaha kwa Watanzania,Ni mama mwenye upendo, ni mama mwenye huruma ,ni mama mwenye kuguswa na Maisha ya watu ,ni Mama msikivu ,ni mama mwenye kujali maisha ya watu,ni Mama mwenye dhamira ya dhati ya kuinua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.