nyongeza mishahara

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wa Umma kuna kukosekana kwa usawa katika upatikanaji wa nyongeza za mishahara kwa miaka miwili

    Awali, nyongeza za mishahara kwa watumishi wote zilikuwa zikitolewa mwezi Julai kila mwaka. Hata hivyo, baadaye Serikali ilianzisha mfumo mpya ambapo nyongeza hizo hutolewa kulingana na mwezi ambao mtumishi alianza kazi. Pamoja na utaratibu huo, kumekuwa na changamoto ambapo baadhi ya watumishi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA hawakuja na madai mapya. Kadri uchumi wetu unavyoimarika, tutaendelea kuboresha maslahi ya wafanyakazi wetu

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi kwasababu mbalimbali ambazo ametaka kuwa TUCTA hawakuja na madai mapya bali...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Wakenya wahoji Rais Samia ameweza kupandisha Mshahara kwa 35% lakini wao waliomba Nyongeza ya 6% tu Ruto ameshindwa

    Nimeona kule Citizen tv Wafanyakazi wa Kenya wakimpongeza Rais Samia kwa kuwajali Wafanyakazi na kuwaongezea mshahara kwa 35% Wamedai kuwa wao waliomba nyongeza ya 6% tu lakini imeshindikana Rais Samia apewe maua yake Binafsi Nakumbuka 1977 tukiwa Watumishi wa Ridoch Motors ndio ltulipata...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Watumishi Wa Umma Wapanga Kufanya Maandamano Makubwa Muda wowote kuanzia Sasa Kumpongeza Rais Samia kwa Kuongeza Misharaha Yenye Minofu Minono

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Kiongozi ambaye Ameletwa na Mungu kuleta Furaha kwa Watanzania,Ni mama mwenye upendo, ni mama mwenye huruma ,ni mama mwenye kuguswa na Maisha ya watu ,ni Mama msikivu ,ni mama mwenye kujali maisha ya watu,ni Mama mwenye dhamira ya dhati ya kuinua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…