Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Stanslaus Nyongo amewatoa hofu Wananchi wa Kijiji cha Fukayosi, Halmashauri ya Mji wa Bagamoyo, akisisitiza kuwa hakuna Mtu aliye juu ya sheria wala anayeweza kuinunua Serikali ya Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Nyongo ameyasema hayo Novemba 3, 2026, alipofika Mijijini hapo...