Mwanantogakulya
Senior Member
- Mar 18, 2025
- 157
- 155
Jimbo la Maswa Mashariki, kuhusu kutorudishwa kwa aliyekuwa Mbunge Stanslaus Nyongo kuwania tena ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), na kurudi kwa jina la Dkt. George Lugomela.
Baadhi ya sababu zinazodaiwa kuchangia kutorudi kwa Nyongo ni:
Baadhi ya sababu zinazodaiwa kuchangia kutorudi kwa Nyongo ni:
- Mapambano ya kisiasa ya ndani ya chama (CCM) – Nyongo alidaiwa kupambana kuhakikisha Lugomela harudi, lakini jitihada zake hazikufua dafu.
- Wasimamizi wake wa kisiasa – Amedaiwa kushauriwa vibaya na kundi la washauri "uchwara".
- Biashara ya ununuzi wa pamba – Inaonekana aliingia kwenye shughuli zinazodaiwa kuwa na mgongano wa maslahi.
- Mahusiano mabaya na wapiga kura – Alihusishwa na dharau na ubinafsi.
- Kikundi cha wanawake walevi – Inadaiwa alikuwa anawatumia kisiasa kwa njia isiyofaa, ikiwa ni pamoja na kutoa fedha za pombe ili kuwashambulia wananchi wasiompenda.