Ukweli haujifichi, ilikuwa ni swala la muda tu Tanzania na Duniani kote kuona nyota kuu inayong’aa kwa Rais wetu kipenzi Mama wa Vitendo Samia Suluhu Hassan.
Leo umoja wa Machifu wamedhihirisha hilo katika tukio la kipekee sana huko Bujora Mwanza ambapo kwa pamoja umoja huo wa machifu wamempa...