nyota

Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:

Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter

View More On Wikipedia.org
  1. Justine Marack

    Ferre Gola: Mfalme asiye na nyota

    Huyu jamaa ni Mfalma we Rhumba za kweli. Ni mwanamuziki ambaye ukiwa mpenzi wa Rhumba lazima utenge siku maalum ya kusikiliza mziki wake. Bahati mbaya Dunia ya Sasa inataka vitu feki kuliko original. Kama Dunia ingetenda haki, basi FERRE GOLA angekua juuu sana. Mfalme huyu hajapata heshima...
  2. L

    Rais Samia Amewasha Moto Wa Maendeleo Usiozimika.

    Ndugu zangu watanzania,
  3. Mzawa_G

    Umeuona mwezi katika siku ya leo baada ya giza kuingia?

    Basi utakuwa unautazama mwezi wenye muonekano unaofahamika kama Waxing rescent ambao ni muonekano unatokea mara baada ya mwezi kuandama na kuanza safari yake mpya katika zunguka Dunia yetu. Eneo la mwezi unaloweza kuliona Duniani kwetu ndilo eneo linalopokea mwangaza wa jua au tuseme ndio eneo...
  4. chiembe

    Baada ya kumshughulikia Mwaikali, wamehamia kwa Kimaro. Viongozi KKKT hawataki nyota za wenzao kuonekana? Who is next?

    kKKT ni kama Ina udikteta, imejaa viongozi wenye roho mbaya sana, makatili, washirikina, wamejaa wivu, husda. Askofu Mwaikali aliondolewa kwa njia ya kuhudhunisha sana, taratibu zote za kanisa zilivunjwa kwa makusudi kwa lengo moja tu, kumkandamiza, kumuonea, kumdhalilisha Kuna askofu...
  5. kavulata

    TFF lindeni wachezaji nyota kwenye ligi wasiumizwe

    Ligi yetu imekuwa sana, inavutia wachezaji wakubwa wa kimatifa kuja kucheza hapa. Wachezaji hawa wanaokuja kwetu wanategewa sana sio TU na club zilizowanunua bali hata na timu zao za mataifa wanatoka, sio jambo zuri hata kidogo kama wachezaji hawa wataumizwa kwa makusudi TU na wavuta bangi...
  6. Kyambamasimbi

    Nyota angani zimepotelea wapi? Wanajiografia tusaidie

    Habari ndugu wanaJF, Zamani tunakua ilikuwa anga likiwa bright hasa nyakati za usiku, wakati unasubiri chakula cha usiku ili usisinzie baba alikuwa anatuambia nenda kahesabu nyota na zilikuwa nyingi mno na zilikuwa zikionekana katika makundi. Sasa je, siku hizi zimekwenda wapi? Au Ni Mimi ndio...
  7. William Mshumbusi

    Phiri Mosses Lazima Aumizwe vibaya kabla hatua ya makundi iwapo Simba itakalia kimya mipango ya wapinzani dhidi ya Nyota wao

    Kwanini viongozi Simba hawaoni Hilo. Nyota wao wote hukumbana na rafu mbaya Sana karibu kila gemu zinazohatarisha maisha yao ya Mpira. Simba Ni klabu kubwa isisubiri mpaka mtu Avunjwe goti ndio watoe malalamiko. Juzi Phiri anafanyiwa rafu mbaya kabisa mbele ya kibendera na Mpira unaelekezwa...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaoifuata Nyota yako ni kina nani?

    WANAOIFUATA NYOTA YAKO NI KINA NANI? Anaandika, Robert Heriel Kuhani katika Hekalu Jeusi. Ni kina Nani hao? Unawajua wanaoifuata Nyota yako? Neno Nyota linaweza kuwa linachechemea katika fikra za watu wasioamini mambo ya Kiroho hasa ndugu zangu kina Kiranga, hata hivyo wao tutatumia istilahi...
  9. LIKUD

    Huyu ndiyo mchezaji anayebeba nyota ya mafanikio ya Yanga

    Katika ulimwengu wa roho kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea ni kitu kimoja tu nacho ni "Ini". Ndiyo, ini ndiyo kitu pekee kinachotofautisha kati ya wanyama na mimea (katika ulimwengu wa roho). Maana yake ni kwamba, kama kuna kiumbe ambacho kwa muonekano wa nje kina sifa zote za kuwekwa...
  10. Dong Jin

    Nyota ya mmasai Kili Paul inavyozidi kung'aa huko India

  11. peno hasegawa

    Hotel ya nyota 5 yenye ghorofa 40 ujenzi wake wakamilika karibu na uwanja wa Kiligolf maji ya chai Arusha

    Mwenye kufahamu mmiliki wa mradi nilioutaja hapo juu aje inbox tafadhali. Hali ya uchumi tunasema ni mbaya ila kuna mradi wa maajabu ulikamilika eneo la Kiligolf Maji ya chai huko Arusha Tanzania. Je ni Lini Mh. Rais wetu mama Samia atakwenda kufungua mradi huo ambao tayari umeshakamilika...
  12. enzo1988

    Alama za mwezi na nyota katika majengo ya misikiti

    Hizi ni alama kuu ambazo hupatikana katika majengo ya kufanyia ibada takatifu katika dini ya Kiislamu ambayo hujulikana kama msikiti(misikiti).Alama hizi ni mwezi mpevu pamoja na nyota. Historia yake: Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya kihistoria, hizi alama zilianza kutumika kuanzia karne...
  13. M

    Kwanini kila Mwanaume ana Nyota ( Upepo ) wa Kuwapata tu Wanawake wa Mikoa fulani, ila mingine hata afanyeje huwakosa?

    Mikoa ya Wanawake wenye bahati ( upepo) nao ni wa Mikoa hii tu ifuatayo...... 1. Iringa 2. Ruvuma 3. Tanga Mikoa ambayo Kudadadeki hata nifanyeje iwe kwa Kudanganya ( Sound ) au hata nimaanishe ( niwe Serious ) hata kwa Kutoa / Kutanguliza Pesa siwapati na hata ikitokea nimewapata siusikii...
  14. Godfrey Constantine

    SoC02 Kipaji ni nyota njema ambayo huonekana asubuhi

    MWENYE MASIKIO NA ASIKIE NA MWENYE MACHO NA AONE, NYOTA NJEMA HUONEKANA ASUBUHI. Njia sahihi ya kukifahamu kipaji cha mtoto,kukiendeleza na kukikuza pamoja na kujua wakati sahihi wa kukitumia ilikuleta manufaa kwa jamii na yeye pia, ni pale hakiwa na umri mdogo. Hivyo tunatakiwa kwanza kujua...
  15. sky soldier

    Mzungu ana nyota kali ya mvuto? Kwanini watanzania wengi huwanyenyekea na hujipendekeza kwao?

    Si mara moja wala mara mbili nimekuwa nikiiona hii hali kwenye sehemu tofauti. Unakuta mzungu akienda ofisi ya serikali anashughulikiwa ki V.I.P unakuta swala lake linahughulikiwa kwaumakini wa hali ya juu sana. Akipita mtaani watu anaopishana nao wanampa sana salamu na hata wale wa mbali...
  16. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga inatembelea Nyota ya Simba kimataifa, iwe na nidhamu

    Yanga ni klabu kongwe lakini haina chochote mbele ya uso wa soka la kimataifa. Ni kama pilipili hoho tu kubwa lakini haliwashi. Katika miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichezea vichapo hata kwenye michezo ya kimataifa ya kirafiki. Ikumbukwe tangu kocha Nabi ajiunge hajawahi kifunga mechi yeyote...
  17. sky soldier

    Usilalamike huna mvuto, unapuuzwa au kuhisi nyota yako imechafuka, Kuwa msafi na uvae upendeze ndio dawa, usivae tu ilimradi, PENDEZA!

    Ohhh nikipita nikimsimamisha mtu ananipuuza/ Ohh nikiongea hata point ni kama vile sisikilizwi/ Ohh nahisi wameniibia nyota...n.k. Asilimia kubwa ya hawa watu huishia kutapeliwa na dawa za mvuto, huishia kutapeliwa nawaganga feki, huishia kuomba kwa Mungu kwa tatizo wanaloweza kulitatua wenyewe...
  18. S

    Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  19. Kiranja Mkuu

    Mimi hunawa uso wangu kwa mkojo wa alfajiri ili kusafisha, kung'arisha nyota na kuongeza mvuto wa mapenzi

    Swalama ndugu zanguni? Mpaka sasa zoezi la sensa linaendelea huku likisuasua, lakini msikate tamaa muda bado upo wa kurekebisha kasoro zilizopo. Back to the topic, mimi ni mwanaume wa miaka 35, kwa kweli maisha yangu yalijawa kwa muda mrefu mikosi, ufukara, kukataliwa na kutokuwa na kibali...
  20. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mchungaji kusafisha nyota, hii imekaaje wadau?

    KUOSHWA KWA NYOTA ILIYOCHAFUKA..! Ayubu 25:5-6 Tazama, hata mwezi hauangazi, Wala nyota si safi machoni pake;Siuze mtu, aliye mdudu! Na mwanadamu, ambaye ni buu! Andiko hili linatuonesha nyota ya Mtu inaweza Ikachafuliwa na kuonekana si safi machoni Pake katika Ulimwengu wa roho!! Hapa biblia...
Back
Top Bottom