Nyota is a given name. It means star in the African languages Swahili and Lingala.People, animals, companies and fictional characters with this name include:
Nyota Inyoka (1896–1971), French-Indian dancer and choreographer
Nyota Ndogo, Kenyan musician
Nyota (Bonobo), male Bonobo born at the Language Research Center at Georgia State University
Nyota Uhura, fictional Communications Officer in the original series of Star Trek
Nyota, wedding invitation and accessories manufacturer and exporter
Huwa namkubali sana Daniel Mgogo.
**********
“Mna akili nyingi. Wanawakamataje? Unaambia ulete KSh 100k tuirudishe nyota yako ambayo ulikuwa hujaiona,” Tanzanian preacher Daniel Mgogo says, insists some preachers dupe Christians who don’t interrogate their statements.
“Unarudisha nyota hewa...
Wanawake wengi walikuwa ukiongea nao walikuwa hawampendi kabisa huyu Mama yetu! Nilikuwa najiuliza why?
Lakini sasa Mama ametutibua hata na sisi wagawa urithi (Wanaume)!
Yaani anataka watoto, Wajukuu na vitukuu wetu wazaliwe wakute wao tayari ni manamba kwenye Nchi yao!
Wananchi tusikubali...
Nimejikuta usingizi unakata na kuruka kama mtoto.
Baada ya kumaliza fomu six miaka 2000 siku moja nilienda kumtembelea jamaa yangu asubuhi ili tupige stori. Mama yake akaandaa chai ilikuwa, Dar maeneo ya Yombo Kilakala.. Basi wakati anatenga chai akaleta vikombe viwili cha kwangu na cha rafiki...
NYOTA KADHAA WA KIMATAIFA YANGA WATAIKOSA FAINALI TANGA, Klabu ya Yanga itawakosa Fiston Mayele na Stephen Aziz Ki ambao wameitwa kwenye timu zao za taifa kuelekea kalenda ya FIFA, huku wakiwa wameondoka mapema leo kwenda kwenye majukumu yao.
Kama hivyo haitoshi Yanga ilipambana kuhakikisha...
Michael Jackson mfalme wa muziki wa pop duniani, huyu mwamba kipindi cha uhai wake alisumbua sana duniani.
Baada ya kifo chake, huyu mwamba imekuwa rahisi sana kusahaulika, tofauti na mastaa kama 2pac na Bob Marley.
Nini kipo nyuma ya hawa mastaa wawili 2pac na Bob Marley ambao licha ya vifo...
Tunapaswa kuswali tukiangalia Qibla, Science ikithibitisha uwepo wa viumbe/binadamu kwenye nyota nyingine tutaswali tukiangalia wapi?
Ni swali ambalo nilipata baada ya kuona uzi aliopost bwana mdukuzi alipofanya udukuzi ambao sijathibitisha ukweli wake kwamba "Waislam wa Bara Hawajui Qibla Iko...
Watu wanaishi maisha yasiyo yao, yaani ya chini na wasiyostahili na baada ya muda wanayazoea na kuona ndio maisha yao halisi ilhali sio kweli.
Unakuta mtu huyo alikuwa na mafanikio kielimu, kikazi, kiuchumi lakini ghafla tu akaanza kushuka na kuporomoka kabisa katika kila nyanja na wengine...
Mchezaji Bora wa mwezi Jean Baleke super finisher ameonesha kiwango kikubwa kwenye mechi za karibuni,Ile acrobatics ya Jana waooh what a player wazungu wanasema.
Baleke ukitaka nyota yako ing'ae focus na mechi ya dabi sababu ni mechi kubwa iliobeba hisia za mashabiki wengi hapa Tanzania na nje...
Bondia wetu Mandonga taratibu anaanza kutoka nje ya reli. Ule umaarufu wake umeanza kupotea kiaina. Yeye sio wa mwanzo wala sio wa mwisho katika watu walioibuka na ku-vibe kisha kupotea.
Huko nyuma alishawahi kuwepo babu wa loliondo, nabii tito, pierre likwidi, Dr. Shika na wengineo wengi...
Kuna Dada kila GENTAMYCINE nikibahatisha kuwa na Hela au Nikiokota Pesa njiani huwa napenda Kununua Vyuku ( Nyama ya Kuku ) wa Kukaanga Kwake.
Kilichonishangaza na Kunishtua kila nikienda Kununua huwa ananiambia kuwa nikianza Mimi Kununua Kuku Kwake huwa zinatoka upesi na Wateja humiminika...
Mchezaji wa zamani wa Yanga SC na Singida United Kipanya Malapa amefungua biashara ya mishikaki na kachori maeneo ya nyumbani kwao Buguruni.
Kipanya anamshukuru sana mchezaji mwenzie wa Yanga Said Maulidi Kalikula kwa kumuunga mkono na kuomba wadau wengi wapite maeneo ya Buguruni Kona kupata...
Wadau, naomba kujua, kwanini toyota raum 1490cc watu hawazichangamkii sana? zina madhaifu gani?
Vipi kuhusu
1. Uimara na uvumilivu rafu rodi
2. Ulaji wa mafuta
3. Upatikanaji na bei ya spare parts.
4. Kuilinganisha na allex, runx ni sawa?
je kati ya model hizi ipi nzuri kwa ulaji kidogo wa mafuta?
Ikiwa ni mapenzi yako katika kujaribu kwenda kung'arisha au kutakasa nyota yako kwa mnajimu yoyote yule basi kuna mambo ni muhimu na unatakiwa kuyazingatia unapokwenda huko ili uweze kupata hitaji lako.
IPO HIVI:
Yeyote kati yenu atakapoenda kutaka kusafishwa nyota kwa mtu yoyote yule basi...
Wakuu vipi, natafuta mtaalamu konki anisaidie Kwa swala la usafishaji nyota. Kwa Zanzibar, mbeya au mwanza. Na pia kama una ufahamu wanakokwenda ma-stars kuoshewa nyota zao na kuimarisha mvuto, haswa Zanzibar. Naomba nielekezwe. Sante.
Kama huna nyota na wanawake na huna hela mapenzi yatakutesa sana, sababu kuna watu wana nyota na wanawake mara nyingi hawatumii nguvu kubwa sana kuwapata wanawake, nielewekwe wanakataliwa ila sio kama wale wanaume ambao hawana nyota kabisa Ukiwa na nyota plus una hela utakua mfano wa king...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.