Katika vita vya pili vya dunia 1945 Japan ilipigwa kwa silaha mbaya ya nyulkia na Marekani na ikabidi isalimu amri.
Silaha hiyo ndiyo ilikuwa mara ya mwanzo kutumika kwenye visiwa vyake vya Hiroshima na Nagasaki.
Watu wake wengi kwa mamia walikufa papo hapo na athari za vita hivyo bado...
Ushindi katika vita ya nyuklia hautamuliwa na ubora wa Jeshi wala silaha nchi husika ilizonazo, bali ni nani atamuwahi mwenzake katika kutumia nyuklia kushinda/ kumaliza vita.
Kwa msingi huo, msitegemee Marekani asuburi Russia atumie nyuklia ndio nae ajibu mapigo, bali atamuwahi...
Maombi yanahitajika sana wakuu mambo sio mazuri kwa usalama wa Dunia, inaonekana dhahiri kua putin atatumia nyuklia baada ya kuzidiwa nguvu.
---
Joe Biden has warned the world could face “Armageddon” if Vladimir Putin uses a tactical nuclear weapon to try to win the war in Ukraine.
The US...
Mshauri wa Masuala ya Usalama wa Marekani, Jake Sullivan ametoa kauli hiyo baada ya Rais wa Urusi, Vladimir Putin kunukuliwa akigusia uwezekano wa Nchi yake kutumia silaha hizo katika vita dhidi ya Ukraine.
Sullivan hajafafanua ni kwa namna gani watajibu mapigo moja kwa moja lakini amesema...
Katika hotuba yake isiyo ya kawaida kwa taifa mapema wiki hii, Bw Putin alisema nchi yake ina "silaha mbalimbali za uharibifu" na "itatumia njia zote zinazopatikana kwetu", na kuongeza: "Sidanganyi."
Kwamba siku akitumia nyuklia ndio atakutana na anachokitafuta. Wazimu mwenye haraka ya kubonyeza vitufe vya nyuklia, hataruhusiwa dunia hii.
======
The U.S. has privately been warning the Kremlin for months of consequences if they use a nuclear weapon in their conflict with Ukraine, according...
Mengine kasema
Wako tayari kuendelea na vita kama watapewa silaha
Kasema misaada wanaitumia vizuri
Kasema Putin anatishia tu na hawezi kufanya
Kasema missiles nyingi za Urusi zinatunguliwa nyingine hushuka ambapo hamna athari yoyote
Kasema viongozi aina ya Putin ni watu waliolewa madaraka na...
Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science.
Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
Waziri wa Nishati January Makamba amesema wanakusudia kuweka mchanganyiko wa uhakika wa Umeme kwenye Gridi ya Taifa.
Makamba amevitaja vyanzo mbalimbali vitakavyozalisha umeme huo kuwa ni Maji, Gesi, Jadidifu, Upepo na Just.
Waziri Makamba amesema hata chanzo cha Nyuklia kinaweza kutumika kama...
Wakaguzi wa Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki wamefika katika kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhia kusini mashariki mwa Ukraine, shirika la habari la Reuters linaripoti.
Mwandishi wa habari kutoka shirika la habari aliwaona maafisa Umoja wa Mataifa wakiwasili kwenye mtambo huo wakiwa...
Kama tumekuwa tukiripoti, kampuni ya nishati ya nyuklia ya Ukraine Enerhoatom imesema kwamba wanajeshi wa Urusi wanaodhibiti kinu cha nyuklia cha Zaporizhzhya huenda wanapanga kukitenganisha na njia zinazoingiza nishati katika mfumo wa nishati wa Ukraine katika siku za usoni.
Enerhoatom...
North Korea imemwambia rais wa South Korea afunge domo lake kufuatia rais huyo kuiomba North Korea iache silaha zake za nyuklia kisha South Korea itaipatia misaada kedekede ya uchumi. Majibu hayo kuntu yametolewa na dada yake Kim Jong-Un aitwaye Kim Yo Jong ambapo pia akaongezea kuwa South Korea...
Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache....
Ukraine said several shells landed near a facility where...
Urusi imeonya kuwa jaribio lolote la kutaka kuitumia mahakama ya ICC kuiadhibu Urusi dhidi ya jinai za vitani litakuwa ndio kufutwa kwenye uso wa dunia kwa hizo nchi zitazohusika.
Imesema Marekani imeua mamilioni ya watu kibao kwenye nchi nyingi na haijawajibishwa kwa lolote, hivyo Marekani...
Rais wa Urusi, Vladimir Putin ameahidi kuisaidia Belarus kwa kuwapelekea mifumo ya Iskander-M inayoweza kufyatua makombora ya nyuklia
Putin ameweka msimamo huo baada ya kukutana na Rais wa Belarus ambaye amekuwepo madarakani kwa miaka 27, Alexander Lukashenko Jijini Saint Petersburg.
Aidha...
Kumbe nchi hii ndogo kwa eneo ina mabomu mengi hivi ya nyuklia?
Pamoja na kuzungukwa na maadui wengi, hawajawahi kutumia silaha hizo kuwaangamiza. Hii ni nchi inayojali utu. Ni nchi yenye ujasusi wa hali ya juu.
Hii nchi imesaidia kulinda usalama mashariki ya kati kwa kuhakikisha iraq, iran...
Wafaransa washenzi sana, walipoitawala Mali waliamua kufanya majaribio yao ya nyuklia kwenye ardhi ya Algeria miaka ya 1960s ili athari zitakazotokana na nyuklia ziwaathiri waafrika tu.
Yaani majaribio wafanye kwa faida ya Ufaransa, lakini madhila ya miaka na miaka hadi kesho yaendelee...
Msemaji mkuu wa chombo cha habari cha Urusi RT bi Margarita Simonyan, amesema wakati mataifa ya Nato yakitafuta kuishinda Urusi katika vita lakini wajue kuwa Urusi haitakuwa na njia nyengine isipokuwa kuangamiza sehemu iliyobaki ya Ukraine kwa sialaha za nyuklia.
Wakati huo huo Marekani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.