Kabla hatujaenda kwenye maada ngoja tumsaidie maana ya e-commerce kwa asiefahamu:
(In a layman way) e-commerce ni uuzaji/ununuaji wa bidhaa au huduma kwenye mtandao mahala popote.
Mfano: Umekaa kwenye kochi unachukua simu/laptop unaingia mtandaoni unaagiza bidhaa unaletewa mpaka nyumbani kwako...
Kuna Jogging Club moja mahala fulani Mwenyekiti na Katibu wanatuhumiana kwa Mmoja kumzidi Mwenzake idadi ya Wanawake aliyolala nao.
Na katika Jogging Club hiyo hiyo Wanawake wakikimbia muda Wote Wanakuwa Wananuniana kwani wapo ambao Wanawaibia Wenzao Waume na Wapenzi Wao.
Na katika Jogging...
Hii inaonyesha hali ilivyokua ngumu kwa Mtanzania aliyeuawa akimpigania Putin, yaani ni aidha usonge mbele ufe au unyofolewe sehemu nyeti...yaani mapum.bu
The merciless tactics of the Wagner Group in Ukraine have been exposed in intelligence reports this week, which learned a mercenary member...
SIKU NILIYOIONA SIMU KWA MARA YA KWANZA ODEON CINEMA 1955 AU 56 AU NYUMA YA HAPO KIDOGO SIJAVUKA UMRI WA MIAKA MINNE
Nakumbuka kama jana vile.
Nilikuwa mgonjwa na baba yangu mdogo Mzee Issa akanichukua kunipeleka hospitali.
Ilikuwa usiku lakini si usiku mkubwa kiasi cha saa moja hivi.
Nina...
Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama.
Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
Mjadala wa feisal kwa hapa nchini umefungwa rasmi na kamati ya sheria na hadhi za wachezaji baada ya kutoa uamuzi wake kuwa ni mchezaji halali wa yanga kwa mujibu wa mkataba wake aliosaini akiwa na akili timamu, na kesho jumatatu watatoa ufafanuzi wa kisheria uliopelekea feisal abakishwe yanga...
MADAI
Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake.
Ukweli wa picha hii upoje?
Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali
Picha...
NB.. siandiki haya Kwa sababu labda nawapendelea Wanawake , au natafuta Wanawake, la Hashaa, Nina Mke na nina Wanawake zangu Kadhaa huku nje tunasogeza life bila stress !!.
Turudi kwenye Mada,. Unajua tangu ulimwengu kuumbwa, Mwanaume akapewa ,Ufalme, Uongozi ,Umiliki na Utawala Kwa...
KUTOKA KWA MALISA GJ
Nimejiuliza maswali kadhaa nikakosa majibu;
1. Balozi Mushi alikua anajiendesha mwenyewe? Tena usiku wa manane? Protocal za kidiplomasia zinasemaje, Balozi anapokua na safari binafsi? Je alikua peke yake?
2. Kama ajali ni uso kwa uso means lori lilikua linatoka ielekeo wa...
Wazungu wanao msema usemao nionyeshe rafiki yako nikwambie wewe ni mtu wa aina gani. Maana yake marafiki zako ndio wanaokutambulisha mbele ya wastaarabu. Ni msemo umekuwepo kwa miaka mingi japo unajulikana kwa wale wasomaji wa vitabu vya kingereza.
Mwalimu Nyerere alikuwa na Hayati Rashid...
Uchaguzi umekwisha , na wajumbe wa NEC wamechaguliwa.
Itoshe kusema kanda ya ziwa ndio walio shinda kwa kurudi na wagombea wao wote.
Matokeo Uchaguzi wa Wajumbe wa NEC-CCM Kwa Upande wa Tanzania Bara
👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼👇🏼
Mkutano wa kumi wa CCM umefanyika na haya ndio majina ya wajumbe waliochaguliwa...
Vigezo vya maendeleo vikiwa:
Pato la mtu binafsi.
Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani.
Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya angalau za msingi (basic health services)
Maji safi, umeme, angalau kwa 50% ya Watanzania...
Rais Samia Suluhu Hassan akihutubia katika mkutano wa 47 wa wanasheria Afrika Mashariki uliofanyika mkoani Arusha, amesema haya kuhusu kushirikisha watu/taasisi ambazo ziko dhidi yake
Kwa mfano Tanzania, miaka minne mitano iliyopita tulikuwa na Tanganyika Law Society ambayo frankly speaking...
Simu kwa zama hizi ni kama kompyuta. Ukizuia watoto na wanafunzi kumiliki simu ni kama kuwazuia kumiliki kompyuta. Huko ni kuwaza kwa mtindo wa kale sana. Cha muhimu ni kuweka taratibu wasiingie nazo darasani na kufundishwa matumizi salama ya simu. Lakini kumkataza mwanafunzi kuwa na simu ni...
Kuna mwamba mwingine huyu hapa
Russia alone is fighting NATO and the Western world,” Medvedev, who is the deputy head of the nation’s Security Council and the leader of the ruling United Russia party, wrote on his Telegram channel on Saturday.
“We are capable of destroying a mighty enemy or...
Kama uko mbele ina maana ulikuwa submerged under water, sasa majaliwa aliuvunja vipi? Kumbuka kuna pressing force ya maji all over the plane with substantial pressure/force?. Akiufungua tu maji yana rush insid, kumbuka kuna obstacles za viti vilivyong'oka na msongamano wa abiria , commotion kila...
Nawaza zawadi ya kumpatia mke wangu kama 'surprise' tu, kutokana na changamoto alizopitia mwaka jana, mwezi kama huu, mpaka ikafikia hatua ya kukata tamaa ya kuishi.
Alifiwa na mzazi wake aliyempenda sana; aliyekuwa akimuuguza muda mrefu.
Kabla ya mzazi wake hajafariki, ndani ya wiki mbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.